Recent content by Hassan Mboneche

  1. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    Kilikuwa kijiwe chenye hekaheka sana cha mchezo wa drafti. Sio asubuhi, sio usiku, mahali hapo palikuwa hapabanduki watu. Huduma ya uuzaji wa kahawa na alkasusu kutoka kwa kijana mmoja mwenye rika kati ya miaka ishirini hadi ishirini na tatu ilinogesha kijiwe, ukiachilia mbali runinga ndogo...
  2. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    NYAYO ZA JASUSI—08 MTUNZI: HASSAN MBONECHE Wakiwa wamealiacha eneo la kituo cha hiace umbali wa mita kadhaa, mioyo ya Luteni Ringo, Pte Pemba na yule mama imejaa ahueni ya mafanikio, dereva akalishuhudia gari la waasi-wmik likija nyuma yao kwa kasi. “Jamani, wafalme wa mwitu wapo nyuma yetu...
  3. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    NYAYO ZA JASUSI—07 MTUNZI: HASSAN MBONECHE Toyota hiace, iliyopambwa kwa rangi nyeusi ilichanja mbuga kuutafuta mji wa Goma. Luteni Ringo na Pte Pemba ni miongoni mwa abiria kumi na tano waliopo ndani ya gari hiyo. Kama walivyoamriwa na Fadhy, ndivyo walivyotekeleza. Walisafiri kwa basi kutoka...
  4. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    NYAYO ZA JASUSI—06 MTUNZI: HASSAN MBONECHE “Mara ya mwisho kuwa hewani ni saa kumi na tano zilizopita. Ilisomeka mtaa wa du 20 Mai moja ya mtaa mjini Goma,” Jalana akamtoa Askofu Ponera kwenye umakini wa usaili wa ufafanuzi karatasini, akahamishia wajihini kwa Jalana. Kitendo kilichotengeneza...
  5. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    NYAYO ZA JASUSI—05 MTUNZI: HASSAN MBONECHE Machea Hassan; mwanaume mwenye umbo nene wastani, mfupi-mweusi, akadiriaye miaka hamsini, mmoja kati ya wafanyabiashara wakubwa nchini Tanzania, makazi yake ya biashara yakiwa jijini Dar es salaam, ndiyo mmiliki wa ile semi iliyochomwa moto na waasi...
  6. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    NYAYO ZA JASUSI—04 MTUNZI: HASSAN MBONECHE Wakiwa wameshaliacha eneo la kambi kwa mita kadhaa, yule kijana aliyeonekana kiongozi wa msafara, alifungua sehemu fulani ya dashibodi, akatoa mfuko wa kitambaa rangi nyeusi akaurushia siti za nyuma. “Mvalisheni.” Akawasisitizia wenzie. Koplo...
  7. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    NYAYO ZA JASUSI—03 MTUNZI: HASSAN MBONECHE Soga zilichukua nafasi kubwa baina ya dereva na utingo wake kule mbele. Soga zilizojaa vicheko na kila aina ya hisia aipatayo binadamu ukiachilia mbali kulia. Walikuwa vijana halisi wa ki-Tanzania. Safari haikuwa fupi. Ni safari ndefu iliyowachukua...
  8. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    NYAYO ZA JASUSI—02 MTUNZI: HASSAN MBONECHE M-baba naye hakuwa na budi, alimfuata. Walipojumuika pamoja, wakayahimiza macho na masikio yanase yaendeleayo kwenye nyumba husika, lakini hawakuambulia cha maana zaidi ya ukimya. Jambo lililowakerehesha na kuwajaza kifua kwa sababu ya hasira. ***...
  9. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    NYAYO ZA JASUSI MTUNZI: HASSAN MBONECHE Jioni, yapata saa kumi na moja, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Cosmas Luambano, aliongoza kikao kilichojumuisha maafisa wa Idara maalum intellijensia ofisi ya Rais (IMI). Jumla ya wahudhuriaji walikuwa saba; Benson Lau-Mkurugenzi idara ya...
  10. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    MNYONGA TAI—10 MTUNZI: HASSAN MBONECHE MAWASILIANO: 0673056571 Wasia wa Fadhy kwa kina Dorice ulikuwa kazi bure. Hisia za kuondoka ziliwatekenya haswa na mwishowe kuzifuata. Walifunga safari ya kurejea Mangaka pasi na kumtaarifu mwenyeji wao. Kwanza waanzaje kumtaarifu wakati ni utorokaji...
  11. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    MNYONGA TAI—09 MTUNZI: HASSAN MBONECHE MAWASILIANO: 0673056571 Alistaajabu kuona vitu vimetua kwa nguvu mezani asubuhi hiyo ofisini kwake. Kabla hajavisaili kuvifahamu, akamsaili mrushaji. Alikuwa Dorice, akiambatana na Pendo. Wajihi umefura kama mtu mwenye fangasi ya mdomo aliyelishwa...
  12. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    MNYONGA TAI—08 MTUNZI: HASSAN MBONECHE MAWASILIANO: 0673056571 Mjimile na wale askari waliwasilishwa jijini Dar es salaam kwa haraka sana. Fadhy aliwapokea. Akaenda kuwahifadhi kwenye moja ya majengo ya siri yaliyopo chini ya kitengo chake maeneo ya Mbweni. Safe house, ndivyo...
  13. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    MNYONGA TAI—07 MTUNZI: HASSAN MBONECHE MAWASILIANO: 0673056571 Walipofanikiwa kuondoka nyumbani kwa Cheyaya, Askofu Ponera na Chiku waliongozana na wale mateka wao hadi alipokuwa anaishi Chiku. Wakawahifadhi wale askari kwenye moja ya chumba, kisha wao wakajipa utulivu. Walipumzika sebuleni...
  14. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    MNYONGA TAI—06 MTUNZI: HASSAN MBONECHE MAWASILIANO: 0673056571 Ilikuwa jioni, Fadhy alivyojumuika na kina Dorice, Pendo na Stella ndani ya ukumbi wa ofisini kwake. Kwa pamoja waliizunguka meza, mboni wakazielekeza ukutani, kwenye runinga kubwa iliyokuwa inaonyesha picha mnato. Ile picha ya...
  15. Hassan Mboneche

    Riwaya: Mkoloni Mzawa

    MNYONGA TAI—05 MTUNZI: HASSAN MBONECHE MAWASILIANO: 0673056571 Kasembe alipandishwa kizimbani, katika mahakama kuu Mtwara. Watu wengi wakahudhuria, kwani kile kilichotolewa magazetini kilivuta macho na bongo za wengi wafahamu hatma yake. Kwa taratibu, na kwa sababu ndiyo ilikuwa mara ya...
Back
Top Bottom