Kabisa huyo hajielewi anadhani Rais anakurupuka, alafu watu wanaona huyu Rais sio mchapakazi lakini ipo siku wataelewa anamaanisha nini, mimi sijafundishwa kumchukia mkuu wangu wa nchi na sitokaa nimchukie hata siku moja. Chuki kwangu haijawahi kunijenga
Pole sana huwezi ukaanza kuargue moja kwa moja huenda ni kweli unakuta harakati za masomo kwa siku zinamchanganya, mimi siamini kwamba kila msichana akifanya hivyo anakuwa anakusaliti hapana! Unaweza kukuta ni kweli anakua amechoka tafadhali usimhukumu moja kwa moja bila kupata uthibitisho. Sio...
Kila mtu atakufa wewe endelea kuomboleza tu,, kama vile kifo hawajaumbiwa watu, vitu vingine tunatakiwa kusahau na maisha yapite tu hamna namna kila siku kulalamika kwasababu ya kifo cha mtu ambaye ni lazima kila mtu atakufa[emoji3578]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.