Recent content by hassan kisabya

  1. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Mwenye NISSAN SERENA NEW MODEL ALETE PICHA NA BEI,NO D
  2. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi wanaofanyiwa ' Umafia ' huu hukimbilia Kujiua / Kujinyonga?

    Dhambi ni Mauti,na hiyo ndio HUWA MAANA ya dhambi
  3. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi wanaofanyiwa ' Umafia ' huu hukimbilia Kujiua / Kujinyonga?

    Dhambi HUWA na Tabia ya kujibu maswali ya anayetenda dhambi hiyo!
  4. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Taifa linaendelea kuwa na TATIZO LA wasomi /wataalamu

    Nimekaa na kufikiria kwa KIPINDI sasa,mwisho Nimegundua ukweli kuwa tatizo la wasomi Tanzania BADO lipo. Kwa akili yangu, mtaalamu ni mtu huru asiye na ushabiki Wala upande kwa nafasi YAKE ya utaalam. Mfano, daktari bila kujali Hali ya mgonjwa anastahili kuokoa MAISHA YAKE kwa kumtibia kwa...
  5. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Taifa letu lina mapungufu makubwa ya wasomi/wataalamu

    Nimekaa na kufikiria kwa kipindi sasa,mwisho nimegundua ukweli kuwa tatizo la wasomi tanzania bado lipo. Kwa akili yangu, mtaalamu ni mtu huru asiye na ushabiki wala upande kwa nafasi yake ya utaalam. Mfano, daktari bila kujali hali ya mgonjwa anastahili kuokoa maisha yake kwa kumtibia kwa...
  6. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Siasa Vs. Taaluma: Anguko la elimu nchini

    Nimekaa na kufikiria kwa KIPINDI sasa,mwisho Nimegundua ukweli kuwa tatizo la wasomi Tanzania BADO lipo. Kwa akili yangu, mtaalamu ni mtu huru asiye na ushabiki Wala upande kwa nafasi YAKE ya utaalam. Mfano, daktari bila kujali Hali ya mgonjwa anastahili kuokoa MAISHA YAKE kwa kumtibia kwa...
  7. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda Na Makongoro Nyerere Wateuliwa NEC ya CCM

    Kama ningekuwa mshauri WA mzee Pinda ,ningemshauri apumzike, abaki kuwa mshauri(kisima cha BUSARA) kwa CHAMA, sio kuingia ktk vikao vya kazi na VIJANA, siku wakipinga michango YAKE ktk vikao vyao atakosa AMANI, angewekwa ktk kikao cha wazee wenzake cha ushauri
  8. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

    Wenye HAKIMA ya ziada hukaa KIMYA, Nami NAKAA KIMYA! MUDA NI mwalimu mzuri,utasema(time will tell)
  9. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Karibu katika siasa chafu Dkt Bashiru Ally, ilinde akili yako wakora wasikupore akili. Zingatia CCM ni ileile

    MUDA utasema,tusubiri na kuangalia pamoja na kumtakia MEMA MAANA tukumbuke YEYE NI Katibu MKUU WA CHAMA tawala, tukimtakia MABAYA MAPEMA yawezekana yakawa MABAYA ya Taifa ZIMA! (tufikiri Mara tatu zaidi)
  10. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2020: Wapinzani unganeni na muunde chama kimoja

    Una FIKRA nzuri Sana, sijui Kama WEWE unayo Dini?kama unayo Dini jiulize Dini YAKO inayo madhehebu Mangapi? UKIPATA jibu TUMIA Kama reference ktk VYAMA vya SIASA! KARIBU Sana ktk SIASA
  11. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Sababu ya CCM kuja na “Surprises” katika teuzi zake mbalimbali ni hii hapa

    Tusubiri na kumtakia. Kazi njema ,only a good teacher is time, SO, TIME WILL TELL!
  12. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru atashindwa kama alivyoshindwa mwenzake Dr. Mukama

    Just wait and see (time will tell)
  13. hassan kisabya

    JamiiForums Tanzania Dr. Helen Kijo-Bisimba ang'atuka Kituo cha haki za binadamu(LHRC), Anna Henga amrithi

    Kila Jema kwake, atambue Sauti YAKE NI pumziko kwa wanaohitaji HAKI HAPA nchini
Back
Top Bottom