Pata ufahamu juu ya faida za Ufugaji Nyuki.
Elimu hii huweza kusaidia mtu au kikundi cha watu kuweza kujiinua kimapato bila kuharibu rasilimali misitu.Pia kupitia ufahamu huo tunaweza kufanya Ufugaji Nyuki kuwa chachu la pato la Taifa letu tukufu.
MAFUNZO YATOLEWAYO
(1).Mbinu za Kuongeza...
Nina Diploma ya ufugaji nyuki,namkaribisha yoyote anaehitaji ushaur katika ufugaji,anaetaka kuanza ufugaji,msaada wa kiufundi,pia anae hitaji mazao halisi ya nyuki(Asali na Nta) kwa jumla.
Simu:0764 458 513
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.