Recent content by Hassan heyday

  1. Hassan heyday

    Occupational therapy jobs

    Hivi course ya occupational therapy Ina marketability kiasi gani kitaa
  2. Hassan heyday

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Hello team Nimepata nafasi ya kazi AUE hivo naomba mwenye ABC za huko anijuze tafadhari
  3. Hassan heyday

    Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

    Hello team Nimepata nafasi ya kazi AUE hivo naomba mwenye ABC za huko anijuze tafadhari
  4. Hassan heyday

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Habari wakuu Hivi mtu kapata kazi mfano Australia or UAE kupata Work/residence permit VISA utaratibu unakuaje
  5. Hassan heyday

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    TANAPA Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  6. Hassan heyday

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hivi salary scale ya TANAPA zikoje Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  7. Hassan heyday

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa Nini unasema hivo mkuu
  8. Hassan heyday

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    U mean kama kozi hio ikiwa extended wenye shahada na stashahada wanaweza kurudi na nyota zao??
  9. Hassan heyday

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hivi kwa idara ya mambo ya ndani kupata star [emoji92] si mpaka uwe na degree???
  10. Hassan heyday

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hivi kila gereza Lina vituo vya Afya/ health facility??
  11. Hassan heyday

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nafasi za cadet pia ??
  12. Hassan heyday

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Una maanisha wale waliongia mwezi April mwanzoni
  13. Hassan heyday

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hv hawa JWTZ wameshaanza call watu ama bado Mwenye ronja atupe
  14. Hassan heyday

    Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    Sorry naomba kusaidiwa Kuna hatua moja imenipa utata nikiweka mwaka wangu wa kuhitimu inaniletea "undefined" shida inaweza kuwa ni wapi
Back
Top Bottom