Recent content by HASIRA HASARA

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ulipaji wa tution fee ifm

    wanajamvi nimepata mkopo na loan batch za ifm zinasema tution fee watanilipia 700000 swali langu je mimi nitalipa 800000 iliyobaki au nitalipa kulingana na joining instruction inavyosema yaani 60% ambayo ni 900000 hapa sielewi kidogo mwenye uelewa na idea anisaidie
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ifm medical examination form is out

    shukrani pia...ukienda chuo endelea na moyo huo huo wa kufanyia kazi mambo ya msingi na kuwa makini na jasiri kwa kile utendacho
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ifm medical examination form is out

    Shukrani pia.mkuu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ifm medical examination form is out

    Pamoja sana.mkuu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ifm medical examination form is out

    Admission letter zinapatikana chuoni .....form ya kukubali admission unaweza kuiprint kwenye website ya chuo plus joining instruction
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ifm medical examination form is out

    Kwa wale mlochaguliwa ifm medical examination form iko on air tayari...tembelea www.ifm.ac.tz ujipakulie mzigo nawasilisha
  7. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    nimelamba 3392500 na fee ni 1.5 hapo nina asilimia ngapi??
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa hostel ukoje kwa sisi tulopangwa ifm

    shukrani wote..Ushauri wenu naufanyia kazi
  9. H

    JamiiForums Tanzania UMECHAGULIWA PROGRAM IPI na NI CHUO GANI??

    Haya bana tutakomaa hivyo hivyo tuu...maneno kama haya tumeshaanza ambiwa zamani sana toka tunaingia form one lakin tukakomaa hivyo hivyo so haisumbui sana tutabanana kitaeleweka tuu
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ifm ifm

    Poa wakuu ngoja tuombe mungu....akisaidia haya...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa hostel ukoje kwa sisi tulopangwa ifm

    Jinsi...am MALE
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa hostel ukoje kwa sisi tulopangwa ifm

    Thanxs kwa ushauri
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ifm ifm

    Wakuu Tution fee kwa sisi wa BA Tc Nill...haina loan... nataka kujua kuhusu malipo...unalipa yote 1,500,000 au inakuaje wadau Tujuzane...wakuuu
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ifm ifm

    Haha una usongo na Chuo be patient
Back
Top Bottom