Recent content by hashodah

  1. hashodah

    JamiiForums Tanzania Piki piki bora yenye bei nafuu

    Na mie naomba kujua kuhusu aina ya pikipiki inayoitwa SUKIDA
  2. hashodah

    JamiiForums Tanzania Piki piki aina ya toyo

    Habari wana jf Naitaji kujua bei ya piki piki aina ya toyo na sifa zake pia mana naisi yaweza kuwa pikipiki nzuri kwa kazi ya bodaboda Karibuni
  3. hashodah

    JamiiForums Tanzania Umeona nini hapa mtanzania mwenzangu?

    Maisha bora
  4. hashodah

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Wapendwa nahitaji kufuga kuku wa kienyeji na ninao kama kuku 10 sasa nahitaji wawe na banda imara na la kisasa sasa sijajua ni vifaa vp vinahitajika ktk banda na ni chakula kipi chenye kufaha
  5. hashodah

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ukweli kuhusu 'kiama'

  6. hashodah

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ukweli kuhusu 'kiama'

    Iyo ni imani yatupasa kuamini ivo ili tutende Yale ya kumpendeza mungu
Back
Top Bottom