Recent content by Harvard

  1. Harvard

    Je Marekani, Israel wanajiandaa na vita dhidi ya Iran?

    Mkuu hapa hoja yako inamashiko sana,kimsingi huo ndiyo ukweli na tatizo nafkiri lilianza toka mwanzo na tatizo hili lisipofanyiwa kazi,basi hakika litaendelea kuligharimu sana taifa letu na hata serikali yetu kwa ujuma.Mfano; Tatizo katika mfumo wa Elimu: Elimu ya nchi humuandaa mtaalamu kuwa...
  2. Harvard

    Zombie apocalypse”! Brought to you by Anthony Fauci and bill gates

    Oooh! hapa nilisema "Just a scam" sababu wame-exaggerate sana tatizo na ndiyo maana mwisho siku ikaonekana ni irrelevant. Simply The side effects of Covid-19 vaccine can't make someone Zombie, and it'll never happen to become someone ,Zombie because of vaccine. Because all of the four...
  3. Harvard

    Zombie apocalypse”! Brought to you by Anthony Fauci and bill gates

    Watu huwa na mitazamo tofauti hataufanye jema gani
  4. Harvard

    Zombie apocalypse”! Brought to you by Anthony Fauci and bill gates

    Mkuu hao jamaa bado wanasakata lao lile la Covid-19 Hysteria; Ni aina ya ugonjwa ambao mara nyingi mtu huwa "High emotional excitable" huweza kuhisi: Anapata shida ya kupumu, wasiwasi,kutapika na hata kama kuzimia ghafla etc nafkiri watakuwa wanarelate side effects of vaccine in relation to...
  5. Harvard

    Kamji kadogo ka Bakhmut bado kameshindikana, hawa ndio walitaka Ukraine yote

    In summary; Westerners ikiongozwa na US hupendelea zaidi Russia kutengwa na Ulimwengu..ndiyo maana kila kukicha huwawekea vikwazo.Sasa panapotokea kuwa na rafiki,wao huhisi kama nikikwazo kwao ndiyo maana hufanyiwa propaganda kila kukicha. Ingawa wao wanamazuria yao pia maana mimi ni mwenyeji...
  6. Harvard

    Kamji kadogo ka Bakhmut bado kameshindikana, hawa ndio walitaka Ukraine yote

    Mkuu unaweza prove kuwa "China kaambiwa yeye ndiyo kamshawishi Putin"
  7. Harvard

    Warusi wabadilisha kauli na kusema kamji ka Bakhmut katachukua wiki zingine kadhaa kukateka

    Na vyanzo vya habari vya watoto (Kyiv). Ushawahi kuona duniani watu wakawa na miguu kama hiyo.
  8. Harvard

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025

    Kwanini asigombee mkuu,atagombea na huenda akaendelea tu hadi miaka yake 10 yaani mpaka atakapomaliza term zake mbili. Nchi nikweli ngumu sana kuiongoza sababu kumuongoza binadamu mwenye utashi wake siku zote siyo rahisi, lakini naona kama kadri muda unavyozidi kwenda anazidi kuwa sawa na...
  9. Harvard

    Afrika Kusini imekataa kuiuzia silaha Poland ili kulinda Uhusiano wake na Urusi

    Mzungu anaakiri,sema nao wamemsoma mapema nia yake. Lengo hapo halikuwa siraha bali ni kuvuruga mahusiano yao ambayo pia yange athiri hata huo umoja wao automatically.
  10. Harvard

    Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Ni ngumu kumlaumu sana kwasasa kutokana na hari halisi ya Ukraine ilivyo na yeye ndiyo huiona "true colour ya Wagner" kwenye ardhi yake tofauti na media zilizo front line katika kupotosha. Ingawa mapungufu yake nikwamba..tatizo lake hutaka kulifanya kuwa tatizo la ulimwengu mzima, ndiyo maana...
  11. Harvard

    Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Germany na Russia kila upande hunufaika na uwepo wa mwenzake. Ndiyo maana Germany hawana muda wa kukaza sana sababu wanajua itawaathiri wao pia.
  12. Harvard

    Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Mkuu nimecheka sana..hasa nikihusianisha huyo Mwalimu (Sir Albert) na kauli unazotoa..nikama yeye mwenyewe. Maana jamaa (Sir Albert) alikuwa na misemo ya ajabu sana.
  13. Harvard

    Kamji kadogo ka Bakhmut bado kameshindikana, hawa ndio walitaka Ukraine yote

    Ila hapa mkuu hasa mwishoni sidhani kama pako sawa sana, Mfano rahisi; munapopambana kumtoa mvamizi ukiona hawezekani kutoka mpaka ikifikia hari ya mmoja wenu kumtafuta rafiki wa mvamizi ili mambo yaishe basi ujue huyo mvamizi hawezekani..otherwise ilikuwa nikumpiga na kumtoa. Mzungu...
Back
Top Bottom