spatacus wa kweny blood and sand alifariki mwaka 2011 wakat blood and sand ilitoka 2010(mwaka mmoja ) hivyo kuwekwa mtu mwingine ila ukiangalia season 2 inavyoanza unajua n yy jinsi anavyokimbia kwa maana alishaanza kuact season 2 kabla hajafariki kwa kansa
youngpo hakuwahi kutamani ufalme hapo kabla kwasababu alijua utaratibu ni kaka yange ndie alietakiwa kuridhi ufalme hivyo toka mdogo hakuwai kujiandaa kua mfalme aliinjoi kupiga pesa na madem hivyo sio kwamba ni mjinga japo ukilinganisha na akili ya jumong na taeso youngpo hakuwa na akili kuliko...
nadhani walifanya vile kwasababu ya movie tu iliwalete story ya baikije lakin kwa maon yang hata angebaki jumong angeweza kumchagua aliefaa kuna kipande jumong alisema alishapitia ushindani wa crown prince hilo jambo analielewa na atafanya uamzi sahihi ila sosunho hakutaka maana mtoto wake...
movie ya jumong inaanza baada ya wavamizi kuivamia ardhi ya wagojosen na kuligawanya taifa hilo katika matabaka na makabila mengi. Han na puyol ndio zilizochukua eneo kubwa hasa Han empire. mataifa haya mawili (han na puyol) waliweza kuzifuta records zlte za taifa la joseng na kubaki na nyaraka...
JIBU LA SWALI LA KWANZA
wa threcian na warome hawakua kwenye mahusiano mazuri kwa miaka mingi wa rome waliwachukulia wa threcian kama wapiganaji tu na watumwa ila sio kama wenzao kwa maana ya kwenye uongozi wao wangetumika tu kupigana hivyo kwa kulinda utu wao na kabila lao wa threcian...
JIBU LA SWALI LA 2
Quintus lentulus bathiatus alikua mridhi wa baba yake titus lentulus bathiatus katika ludus ya familia yao iliokua jijin capua. ludus ambayo mwanzo ilikua chini ya baba yake ilijihusisha na kuwatafuta, kuwafundisha na kuwauza ma gladiator ambapo kwenye utawala wa baba yake...
kwaiyo kwako mkuu messi na kibu kibu anajua? hakuna mtu anashabikia kitu kibaya mzee kama kweli yanga inacheza vizuri kuliko mamelod nani atashabikia mamelodi ? au al ahly ? wawekeze kwenye mpira huwezi nunua wachezaji wa bure mwenzio anachukua vifaa eti ushabikie vya bure uache kushabikia soka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.