Recent content by harryjerry

  1. harryjerry

    Jinsi ya kufika Rwanda na taratibu zake

    Usijali kaka any time
  2. harryjerry

    Jinsi ya kufika Rwanda na taratibu zake

    Kikubwa kule usalama ni asilimia 100 hakuna mambo ya kukabana wala wizi kama bongo pia Kuna watoto waziri mno alafu pia jamaa kwa usafi sidhani kama kuna mji wamefikia kigali aisee changamoto kubwa ni vyakula vya kula jamaa hawajui kabisa kupika vizuri kwakweli
  3. harryjerry

    Jinsi ya kufika Rwanda na taratibu zake

    Bro wasikukatishe tamaa watu wa humu jf mimi nilikua rwanda mwaka jana mwezi wa 12 nimekaa kule wiki mbili nilifikia pale kigali serena hotel maana nilienda kikazi mimi ni staff wa serena hotel hapa dar so najua viti vingi sana kuhusu rwanda na nilizurura sana so kama uko serious unataka kwenda...
  4. harryjerry

    Niagize chochote Dubai

    Jabbzbbajja Kaka mimi niko na swali nahitaji unisaidie majibu yake kama itawezekana,niko nampangi wakuja dubai soon kutafuta maisha,sasa kuna mtu aliniambia kua huko dubai kuna sehemu ambayo unaweza kupata nyumba za bei rahisi ambazo unaweza ukapanga yani ziko kama hostel unakuta kuna kitanda...
  5. harryjerry

    Napata Ukakasi wa Kumuita Magufuli kwa kibwagizo cha SHUJAA alipatwa na Umauti Kizembe sana

    Aisee umeongea point sana kwa sisi wenye d mbili tumeshakuelewa
  6. harryjerry

    Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

    Kweli kabisa kiongozi kwanza kabisa ukiona mwanamke wako anapenda sana mitandao ya kijamii ujue hapo hauna mke na ukiona mwanamke wako ana marafiki wengi haijarishi kama ni wakiume au wakike jua kua umepigwa hapo
  7. harryjerry

    Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

    😂😂😂😂😂umetisha
  8. harryjerry

    Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

    Na hapo ushukuru mungu hautumii pombe kama sisi ila ungekua unatumia pombe hakuna rangi ungeachaa ona bro😂
  9. harryjerry

    Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

    Bro pombe haukuli pesa kama wanawake wanawake ni zaidi ya pombe kwa mfano mimi naweza kutumia buku 5 kwa siku lwa ajili ya pombe na hua sinywi kila siku kwa wiki nakunywa mara mbili au tatu ila kwa mademu unaweza ukawa unatomba demu mpya kila baada ya siku tano let say kwa mwezi unatomba mara 6...
  10. harryjerry

    Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

    HAPANA sio kweli hata wanawake wa mjini wapo wenye mapenzi ya kweli kwa wanaume wanaowapenda ambao hawawezi hata kuomba hela kwa wapenzi wao mwisho wa siku wanaishia kuwachuna hao wasiowapenda tu.
  11. harryjerry

    Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

    Huo ndo ukweli tofauti na hapo utabaki kuendeshwa na hayo mahusiano hadi utahisi akili yako inakuchezea akili.
  12. harryjerry

    Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

    Tena hakuna wanaume wanaoongoza kwa kusalitiwa kama hao wanaotoa maokoto.
Back
Top Bottom