Habari wana jf
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mjasiliamali nimekua nikifanya biashara tofauti tofauti kwa muda sasa na kila siku nawaza kufanya kitu kipya
Nipo hapa kwaajili ya msaada wenu wana jf kuhakikisha nafikia malengo yangu kama mjasiriamali
Hivyo basi nimefanikiwa kununua...
Wanandugu msaada tafadhali.
Ninafanya biashara Kariakoo duka la nguo za kiume na nimewekeza pesa nyingi Ila mambo hayaendi kabisa tatizo limeanza baada ya Corona maana nimeanza biashara mwezi wa 1 Corona ikaja kuharibu Kila kitu.
Msaada nifanye Nini ili nipambanie biashara yangu iweze kuwa...
Mchungaji alisema katika mayai kile kiini cha ndan ni hatar zaid namnukuu "katika mayai lile la nje unaweza kula hata 20 ila ogopa sana kile kiini" hakusema tusile mayai kabisa na nguruwe kesi yake ni nyingine kabisa si ya nyama nyeupe wala nyekundu ila ukisoma katika kitabu cha kumbukumbu la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.