Naomba kwa anaefahamu taratibu za kufungua duka la dawa kwa hivi sasa ziko vipi
Mimi nina cheti cha umiliki wa duka la dawa ila sio mfamasia
Natanguliza shukran 🙏
Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa M5 na ikawa na mwanzo na muendelezo mzuri kati ya hizi
1. Soft drinks
2. Nafaka
Pia kwa mwenye ushauri wa biashara nyingine tofauti na hizo kwa mtaji wa M5
Mkoa ni MWANZA
Natanguliza shukrani
Tatizo sio certificate wala diploma ya ualim tatizo n mtaala kwa ujumla kuanzia drs la 1 ad hapo unapotaka afke degree ulimfundisha nini? Walimu wanafuata kile ambacho serikali inataka kifundishwe ambacho ndio kinapelekea matokeo ya elimu za kuunga unga
Pia si amefanyiwa upimaj sawa na hao waliomalza form6 na akafaul sasa tatizo liko wapi huyu jamaa anataka kusema mtu akishakosea asipewe fursa tena ya kusahisha makosa yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.