Recent content by hardworker

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina dini, pongezi kuondoa mjadala wa mahakama ya kadhi bungeni

    Udini utakuu dogo. Waisrael mbona mnauwezo mdogo sana wa kufikiri?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mi naishi Buguruni kwenye channel list hakuna tv Iman, ntaipataje? Asanten sana
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ray C ampokea Yesu na kubatizwa

    kakosa namna ya kurudisha jina kwenye magazeti ya udaku hana lolote!!!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    umesahau isunga chupi, nzhogwi na minze geita
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara mkubwa wa madini wa Arusha afariki ghafla Mahenge ( Henry Nyiti)

    ndugu yangu we umekuwa mkweli
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara mkubwa wa madini wa Arusha afariki ghafla Mahenge ( Henry Nyiti)

    hivi siku hizi neno ugaidi lina maana mpya?. Imefikia hadi mtu akidhurumu wezi wenzie wakimuua inakuwa wamemfanyia ugaidi.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba na Tume yake Kuendelea Kuwanyima Haki Zao Wazanzibar

    dah! hawa tume ya katiba wanaogopa maoni ya wazanzibar wazalendo
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tume ya katiba yawahujumu wakatoliki;kura za kuchagua wajumbe wa mabaraza ya katiba wilaya kupigwa

    USIWE MBULULA MBONA WAISLAM IJUMAA WANAENDA KAZINI, sembuse hiyo pasaka isiyo kuwepo?
Back
Top Bottom