Mimi naamini hawajaita wote. Kuna frend nilikutana nae that day na hawajamwita tena this second time. So ukisema wameita tena wote naona kama sio kweli.
Kwa nilivyoeleweshwa nssf wanafanya haya mambo hivi.
Interviews ziko kama ifuatavyo.
1 . General knowledge - written
2 . Fully understanding of the post position an the fund in general - written
3. Oral interview. This will check your confidence. English. And general understanding of the...
Labda kuwadhihirishia kuwa sijaanza leo wala jana. Unaweza search HARD BIZNEZ ....Tangu instagram .. facebook...na hata google....ukifanya hivyo utanielewa vizuri ....
Zaidi sana ukipenda kujiridhisha na uzoefu wangu unaweza kutembelea WEBSITE YANGU TUNAYOUZA VITU VYOTE ONLINE ...COMPYUTA...
Labda kuwadhihirishia kuwa sijaanza leo wala jana. Unaweza search HARD BIZNEZ ....Tangu instagram .. facebook...na hata google....ukifanya hivyo utanielewa vizuri ....
Zaidi sana ukipenda kujiridhisha na uzoefu wangu unaweza kutembelea WEBSITE YANGU TUNAYOUZA VITU VYOTE ONLINE ...COMPYUTA...
Sio kwamba nimeanza leo kufanya biashara so nawajua watu wote wanaojua na wasiojua ....na nikiona huruma sana ndio nautumia muda wangu kuwaelewesha wasiojua kama hivi
Bei sio tatizo hata kidogo. Hii ni biashara na kila mtu anajua maana halisi ya neno biashara. Kwa wahitaji siriaz huwa wanapiga simu na tunamalizana vizuri tuu. Ila kwa kuwa sisi hatuelewi ndio maana tunabaki kukoment hapa hata vile tusivyovijua.
Tatizo macho yote yanaenda kwenye price / bila kujua hata ubora na mambo yanayosababisha bei kuwa hivyo. Kwa kuongezea tu bei iliyoandikwa sio sheria kuwa kujadiliana na punguzo tunahitaji bunge la katiba kuyafanya hayo.
Nyongeza kwa kuwasaidia ni kwamba bila ten milion 10 mil hii gari hujaigusa . Bado swala la uelewa ni tatizo kubwa sana . Ila nalitambua hilo na ndio maana tunasaidiana kueleweshana ilihali wote sie niwatanzania
Tatizo lenu wooote hakuna anaejua bei halisi ya hii gari. Tatizo kubwa letu watanzania ni kukoment hata kitu tusichokijua vizuri. Nadhani busara ni kama hujui kitu acha tu kipite. Sio lazima uchangie kila unachokiona machoni pako hata kama hujui. Niushauri tu ndugu zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.