Gazeti lolote lengo lake ni kuuza tu habari hasa hizo zinazoonekana zina ukakasi kidogo.
Yawezekana title ikawa hivo kuwa wazazi wote wafungwe,lakin content ya ndani ikawa na maana halisi ya mheshimiwa.
Waziri mkuu sio mkurupukaji kama unavodhani.
Wazazi alowazungumzia ni walipeana mimba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.