Serikali itakuwa imefanya makosa makubwa kutowashughulikia wakosoaji/wapinzani wanaobadilisha uongo ili kuwa ukweli li kufanikisha ukosojia wao huo na huku wakilipwa na watu wenye nia mbaya ya kusambaratisha taifa na juhudi zake za kimaendeleo. Kuto washughulia hawa ni sawa na kuto...
Rais JPM na serikali anayo iongoza wasipoteze muda kuwajibu hawa wapuuzi. Hizi ni chokochoko wakitaka kuingiza serikali kwenye malumbano ya maneno na vita ya poropoganda hatimaye machafuko.. Walikata misaada yao wanaona siku zinasonga na mambo yako hot yanaendelea mbele. Wakatangazia ulimwengu...
Huo mkono wa JPM ukofit kaitendea haki hiyo jezi ya fatiki ya RSM. Kila mara amekuwa akivaa uniform za administration police na zinazo fanana na hao wasaidizi wake, leo kao atoke kivingine.
Misaada hii ya kulishwa sindano rungu na kujisadia mtarimbo.Watanzania wakageuzwa mazezeta ya kucha kutwa kujadili muundo wa gari linalo wabeba Bush na Obama. Wakaacha kujadili bei ya umeme wa Symbion na mikataba ya makanikia. Wakaambulia vyandarua vya kulazimishiwa kuchukua hata kama huhitaji...
Kwa vile Rais JPM ameamua kumuenzi JK Nyerere kwa vitendo basi achukue muda kujua kwa nini Nyerere hakuwa na mpango wa kihivyo na soka la Tanzania. Hamna mahali ambapo ni rahisi kwa mahasimu wako kukuhujumu kama kupitia soka la Tanzania. Kumejaa fitina na uswahili mtupu huko kwenye soka na...
Mudorata hebu tuwekeeni clip ya picha mwendo ya mabalozi yule mama wa uk na baba wa USA walivyokuwa wanacheka na kutabasamu wakimfurahia JPM akitoa hotuba siku ile ya kuzinduliwa kiwanda cha MO hapo kurasini Daisalama. Mpaka wananchi hapa Isukamahela wakawa wanasema iishi wazungu waliipandika.
Mpaka siku sisi Tanzania kama taifa tugundue china ni jini subiani la kutunyonya damu tutakuwa tumesha chelewa sana. Hata ulinzi wetu ni kama nusu rehani mchina.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.