Recent content by Happyone

  1. Happyone

    JamiiForums Tanzania Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

    tena mapenzi ya dhati nani anaweza kufanya kama wanaarusha wamekesha cku tatu kutetea haki yao pale Themy wanapigwa mabomu kila cku na polisi lakini wako na chama chao hao wengine wataweza hiyo
  2. Happyone

    JamiiForums Tanzania Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

    acha ushamba wewe majambazi wawe wote hao basi tz imeisha halafu nani anajiamini bungeni hata anapowasilisha au kutetea hoja acheni hizo lema ni jembe muacheni chali wa R amekuja kuwashika
  3. Happyone

    JamiiForums Tanzania Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

    watuambie Zito alishinda kwa kura ngapi na Lema ngapi ili tuone km wana Arusha wote ni wavuta bangi kuweni makini na mnacho andika.
  4. Happyone

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Utemi wa Wanyanyembe Tabora Wamkataa Lowassa

    hahahaaaaa nimeipenda hii
  5. Happyone

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

    hebu tuambiane kwa lugha za upole hili jambo ni zaidi ya vyama vyetu.
  6. Happyone

    JamiiForums Tanzania Wabunge Hawa Hawakustahili Kuwa CCM ni bora wakafikiria kwa kina 2015

    umemsahau mhe. Kessy
  7. Happyone

    JamiiForums Tanzania Wabunge Hawa Hawakustahili Kuwa CCM ni bora wakafikiria kwa kina 2015

    Umemsahau mhe. Kessy
  8. Happyone

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    Mpaka tupigane vita.
  9. Happyone

    JamiiForums Tanzania Mrema: Mimi si kibaraka wa CCM

    Mzee wa kiraracha alimuomba Pinda msamaha kwa kujaza fomu yakutokuwa na imani naye adai aliburuzwa tu.
Back
Top Bottom