Kwa hiyo sasa umeimalika siyo, tatzo hata uchumi walio soma ndio masikini wengi, wao ulishawahi jiuliza ni kwann? Kuna wakati ya darasani huwa hayana uharisia na maisha yetu ya kila siku hasa kwa jamii za kiafrika.
Kiongozi kumbuka wayahudi waliopo ni wale walio hifadhiwa na kanisa la rumi kipindi cha Adolf hitira hivyo nao ni zao la rumi ko rumi ndiye baba wa machafuko yote kwa kutumia washirika wake kama USA
Mnatanguliza sana uchama zaidi mimi si mtu wa chama ila ni mtu ambaye nachagua kiongozi kutokana na uwezo wake na si chama ninyi shida ni ushabiki wa vyama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.