Recent content by happiness win

  1. happiness win

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe mpenzi wangu wa zamani ni boss wangu

    Mapenzi yenu ya kuonjeshana yalishaisha sasa imebaki stori, umeoa na watoto sasa unataka nini we kidume? Hebu tuliza kiuno uchape kazi.
  2. happiness win

    JamiiForums Tanzania Satanic living is on, beware

    :tea::hungry::tea:
  3. happiness win

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Wanatafuta mbegu ndefu!
  4. happiness win

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani hata mishikaki ya buku haifiki

    ha ha haaaa kibamia chako kinatoa mishikaki ya shi ngapi?
  5. happiness win

    JamiiForums Tanzania Kama Adam angekataa kula tunda la mti wa katikati ingekuwaje?

    Tusingekuwepo.... adam angeishi milele na eva wake! dhambi ndio ilitufungulia mlango wa kuja kufanya maovu yetu! uzao wa dhambi... :bange:
  6. happiness win

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali: Nani ka msaliti mwenzake, mwanamke au mwanaume?

    Ndio ujue mapenzi hayana ukweli na hayana maamuzi mamoja. Mapenzi ni unafiki fulani hivi ambao mnakubaliana mdomoni lakini moyoni kila mmoja anawaza lake. Ukiwachunguza hao sio kwamba waliishiwa kabisa inawezekana kila mmoja ana ki akiba alijifichia. Kwenye mapenzi wote ni wasaliti.
  7. happiness win

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanawake tu

    kwa taarifa yako wengiwaliokuwa wa kwanza kukata utepe ndio huchukiwa zaidi........ maana hakukuwa na utamu wowote.... kichungu hakikumbukwi
  8. happiness win

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekutana naye kwa mganga wa kienyeji.Je anafaa kuwa mke?

    JF kiboko! hata wanga wamo humu!
  9. happiness win

    JamiiForums Tanzania Watoto kama hawa unawafanyaje?

    Atanikoma aliyewaaacha hadi wakafanya hayo makorokoro!
  10. happiness win

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndio tarehe rahisi kutongoza mwanamke

    MCHUNGUZI HURU Umechemka. Ni hivi kwa anayefanya kazi, mwisho wa mwezi ndio tarehe za kuvuna toka kwa bf wake, hivyo atazitumiaa hadi tarehe hizi bf kaishiwa ndio yeye anaanza kutumia mshahara wake, taratibu bila bf kujua, unajua wanawake walivyo wabinafsi (sio wote). Chunguza tena!
  11. happiness win

    JamiiForums Tanzania Mzee wa upako: Ningekuwa rais wanawake wasingefanya kazi

    Dhambi iliingia baada ya Adam na Hawa kutenda dhambi kwa kutotii na kutenda walilokatazwa. Wakafukuzwa bustanini. Wakalaaniwa watakula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu.
  12. happiness win

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikubali au nikatae?

    U s i t h u b u t u
  13. happiness win

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta baada ya kulewa mbombonya nikalala kwenye kinyesi cha ng'ombe

    Umejikagua kila mahali??? isije ikawa ulishughulikiwa
  14. happiness win

    JamiiForums Tanzania Bobbi Kristina's last journey

    Wabongo wataiga hivi vivazi wakati wa mazishi
  15. happiness win

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuniambia kama alitolewa kizazi, nimegundua siri baada ya miaka 6 kwenye ndoa

    Weka mada mezani. Mwambie ukweli kwamba umejua alitolewa kizazi. Bila shaka atalia na kutubu kwa kukudanganya. Panga naye mkubaliane hatima ya penzi lenu; uoe mke wa pili akuzalie, uzae nje yeye alee au muachane! pagumu hapo, lakini hakuna jinsi.
Back
Top Bottom