Recent content by hapohapo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti BAVICHA Taifa akamatwa na Polisi

    Safi kamanda endeleza mapambano
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nini kinawachochea vijana Watanzania kujiunga na Ugaidi?

    Nanyie vjana Wa kiislamu mmbadilike ukweli muuone wenyewe hakuna uhusiano kati ya serikali na ukristo.hapa sio Vatican.sijui MNA matope gani kchwani mpigwe na serikali mlipize kwa wakristo.wallahi kama Luna mungu wenu Wa hivi naana waambia nihaki Mimi Siku ya kiama naanipige mateso...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nini kinawachochea vijana Watanzania kujiunga na Ugaidi?

    Nyie mnamatatzo sana kwanini yakitokea mauaji mnaunga mkono?unaongelea central afrika nani walio anzsha kuwaua wenzao Islamic or Christian?mnakaa MNA lalamika lalamika tuu ooo serikali inapendelea wapi kuna mitihani ya kicristo na kiislamu Hamna lolote nyie ukweli dini inamafundisho ya kigaidi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nini kinawachochea vijana Watanzania kujiunga na Ugaidi?

    Kwahyo una shauri nin?kwahyo Hugo mwanafunz kakosa ajila? poor thinking.ongelea Tatzo lililop hapa sio kuchengesha ukweli Wa mambo mbona ukristo hatuna magaid always Islamic wao ndo wanao baguliwa na serikali au? Hii sio Dino ya mwenyez mungu kamwe.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Pale unapokuta mkeo katuma picha zake za uchi kwa mwanaume mwingine

    Piga chini hawa viumbe wanakela sana Mimi binafsi skuhiz moyo wamapenzi haupo ataukisamehe hakuna kitu.pigaaaa chiiiiiiniiiiiiiiiii puuuuuuuu!!!!!!jalibu kuwa una soti piga nakuacha kaugonjwa ketu nikama safari hakuna asie safiri.
  6. H

    JamiiForums Tanzania mgomo wa madereva ijumaa

    Kwani wana tatzo gani mpaka kufikia mgomo?fafanua vizuri mkuu tuchangie
  7. H

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mikoa Kukabiliwa na baa la njaa kutokana na Ukosefu wa Mvua

    Joshua from nigeria
  8. H

    JamiiForums Tanzania Unaweza Kukisia Huyu Paka anapanda ngazi juu au anashuka ngazi kwa chini?

    Wewe huna tatzo ila walio muona wengine wanasema ana panda wengine anashuka.duuu!!! huyu paka ninoma kama sio chuma ulete!!!!.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Unaweza Kukisia Huyu Paka anapanda ngazi juu au anashuka ngazi kwa chini?

    Anapanda mahindi ana shuka la kujifunika.chezea nyau wewe
  10. H

    JamiiForums Tanzania Unaweza Kukisia Huyu Paka anapanda ngazi juu au anashuka ngazi kwa chini?

    Itakuwa anataka kulala
  11. H

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mikoa Kukabiliwa na baa la njaa kutokana na Ukosefu wa Mvua

    Haahaaa!!! tafta na mtu Wa sururu tung'oe visiki vya mafisadi
  12. H

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mikoa Kukabiliwa na baa la njaa kutokana na Ukosefu wa Mvua

    Maajabu ya serikali ya ccm wana sema"KILIMO KWANZA"huku wakifuta michapuko yote ya somo la kilimo mashuleni.wana nchi tuamkeni nani katuloga?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mikoa Kukabiliwa na baa la njaa kutokana na Ukosefu wa Mvua

    Tabola,shnyanga,kahama hali kazalika katavi kwa sasa debe la mahind ni Tsh7000 tofauti na misimu ilyo pita kwani nimapema sana kutokea halo hii naukiangalia ndo mikoa inayo toa nafaka kwa wingi.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Chaji Simu yako kwa dakika mmoja

    Zetu Ku copy na Ku pest.
Back
Top Bottom