Mpuuzi tu hana maana yoyote. Misaada mnapenda sana kila Head of state akija mnaomba misaada. Hata hio aid ya EU for Covid mlificha, serikali haina uwazi kabisa.
I strongly believe that Magufuli will stay beyond the 10 year period prescribed in the constitution. Definitely, the current constitution will be amended to accommodate his prolonged ambitions. He has consolidated his powers and treated "God like" by CCM members. The elections of 2020 did not...
CCM ni jipu na huyo mtumbuaji majipu ndio amekua jipu kubwa inabidi na yeye atumbuliwe. Mtu ambaye hana akili ndio anaweza kusema kama huu uchaguzi ulikuwa wa haki. Nchi imegawanyika na hii ni hatari kubwa.
Mimi niko upande wa haki na pia kiukweli sijawahi kuwa mtu wa siasa ila unapoona haki haitendeki inabidi nikemee ndio vitabu vyote vya dini zinavyosema. Dozi haitokolea kwangu ila vizazi vinavyokuja ndio vitaangamia wakati kundi la watu fulani ndio litapata manufaa, usawa utakuwa haupo...
Kuna wakati Humphrey polepole alikuwa anahojiwa akasema kama China kuna democracy basi nikajua tumemalizika kama taifa. Tutakuwa Taifa la majuha kila siku utaona press conference za kumpomgeza JPM.
Nguzo za Nchi bye bye
Chama cha CCM kimeshinda kwa kishindo uchaguzi wa 2020. Kama ndio hivyo basi, kupeleka majeshi Zanzibar pamoja na baadhi ya maeneo ya Tanzania bara yenye upinzani ni ishara kubwa kuwa haki za watu zimepotea.
Nimefikiria sana tunaenda vipi mbele kama Taifa. Baba wa Taifa...
CCM imeipeleka nchi hii katika hali mbaya sana and kuweka wananchi kwenye giza kwa kusingizia amani. Vyombo vya habari havina ueledi tena na vitabaki kueneza propaganda za CCM, Mawazo and maoni ya watu pamoja na vijana yamekandamizwa kwahiyo tutakuwa taifa la uchwara kwa vizazi vinavyokuja, watu...
Mh Tundu Lissu naomba nitoe shukrani kwa kutupa nafasi hii ya kuuliza maswali. Mimi ni katika watu ambao wanakuunga mkono na ningependa utoe ufafanuzi katika maswahili yafuatayo:
1. Serikali ya awamu ya tano imeanzisha Miradi mikubwa sana kama SGR na Nyerere Hydropower Dam. Mikopo ambayo...
Lissu amewafumbua watu macho na pia ni mtu ambaye ana msimamo. Wenzetu inaonesha wameanza kubabaika kweli, wamechanganyikiwa sana na kazi yao kutumia polisi ila mwaka huu itabidi kieleweke tu.
Lazima wote warudishwe, hii inaonesha ndiyo ilikuwa makusudio yao ya kuwatengua halafu kurudisha wachache ili wabadilishe baadhi ya majimbo........huo ujanja umepitwa na wakati
Mh Tundu Lissu ameongea ukweli ila mfumo kama huu uweze kufanikiwa inabidi waalimu wa shule ya msingi wapewe mafunzo ya lugha ya kiingereza. Nchi nyingi wanasoma lugha zaidi ya moja kuanzia primary. Mfumo mzima inabidi ubadilishwe lakini sidhani hiyo itakuwa agenda ya Rais Magufuli maana yeye...
CCM wako madarakani tangia mwanzo wa muungano. Kama mafisadi basi wamekuwepo katika kipindi chao, kama mikataba mibovu basi ni wao naweza kusema maovu yote yanayopingwa yametokana wakati wao na sasa tunaambiwa wanajenga barabara, madaraja na miondombinu mbalimbali wakati huo huo wapinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.