Tanzania Government in Share 48% katka Capital ya NMB kwahivyo 52% Share Capital inamilikiwa na Shareholders wengine kwahivyo jiulize This is PUBLIC or Not .Lakini kitu chochote kinakuwa cha Umma kinapokuwa Listed katika Soko la Hisa yaani DSE kwa tafsir hii NMB ipo kwenye soko la hisa so this...
PEOPLE'S BANK OF ZANZIBAR (PBZ) ni Bank ya Umma kwa asilimia 100% mtaji wote unamilikiwa na SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR allthough CURRENCY AND BANK is TANZANIA UNION ISSUE kwa ujue sio Twiga na Postal Bank ni Bank za Umma pekee
TBS anasimamia Viwango na Ubora wa bidhaa zote zinazozalishwa nchini na zinazoingizwa nchini na jukumu la TFDA ni kusimamia Usalama kwa mtumiaji kwa bidhaa za chakula na madawa
Soma Sura ya Nne ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
SEHEMU YA TATU
BARAZA LA WAWAKILISHI LA ZANZIBAR
Ibara ya 106.
Ibara ndogo ya (1),
Kutakuwa na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar. Baraza la Wawakilishi litakuwa na sehemu mbili; sehemu moja itakuwa ni ya wajumbe wa Baraza hilo...
Naomba mniulize kwa Mheshimiwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hii CCM imetokana na TANU tu! Sioni sura za ASP yaani Uwakilishi wa Upande mwengine wa Muungano wetu Mtukufu wa Kipee Duniani Mungu azidi Kuulinda au Hawa Wazanzibari ni Vilaza sana hawana elimu ya kuwa ya kuwateua...
Mkuu hapo umeteleza Mabalozi wengi waliteuliwa wakati wa Kikwete ambao hawakuwa watumishi wa Umma lakini Mkuu aliwarudisha nyumbani sababu moja ni umri wa kustaafu
Sababu za Rais wa CAF kuifuta uanachama wa CAF Zanzibar kwa misingi ya kutokuwa mwanachama wa UN na AU naamini amekurupuka angeangalia Mashirikisho makubwa kama UEFA na FIFA wanachama wake wanavyopatikana mfano UNITED KINGDOM (England, Wales,Scotland na Northern Ireland ) ni mwanachama wa UN...
Alichokifanya ni jambo jema sana sababu binaadamu kama umekosea jirudi na uombe radhi hata maandiko yote Matakatifu Quran na Bible yanaeleza hivyo. Alichofanya ni jambo zuri kwa Taifa, Chama chake, Wapiga kura wake, Familia yake , yeye binafsi pamoja na Professional yake ya Sheria. Mimi nampa...
Alichokifanya ni jambo jema sana sababu binaadamu kama umekosea jirudi na uombe radhi hata maandiko yote Matakatifu Quran na Bible yanaeleza hivyo. Alichofanya ni jambo zuri kwa Taifa, Chama chake, Wapiga kura wake, Familia yake , yeye binafsi pamoja na Professional yake ya Sheria. Mimi nampa...
Ally Mayay Tembele ni binadamu aliyebarikiwa kipaji cha Uongozi. Ondoa hayo mambo ya Uchambuzi au alikuwa mchezaji wa Yanga na Stars. Kipaji chake cha Uongozi mfuwatilie kwenye Shule na Vyuo alivyosoma utaona bila shaka wanafunzi wenzake watakavyomzungumzia. NA upande mwengine Ally Mayay aliwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.