Recent content by hapa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CCM hakuna kiongozi mzuri?

    Samaki ameoza woote wataoza : punde
  2. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

    Watanzania tuache umbulula alichokiwakilisha mweshimiwa mdee ndio ukweli wenyewe: mwananchi ndie mwajiri wa viongozi, tunatakiwa tujue wanachofanya viongozi wetu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa aina yake.Huyu anapona? Tafadhali wenye roho nyepesi.(UPDATES)

    Atapona kwa jina la yesu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dk. Bilal, Afande Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Dk. Magufuli wanusurika ajali ya helikopta

    Mwananchi kwanza kiongozi baadae' wapone mapema watumikie taifa
  5. H

    JamiiForums Tanzania Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

    Habarini
  6. H

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na Serikali Tatu: Warioba amvaa Gharib Bilal kwenye kikao, hali yachafuka...

    Serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania; na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ? Hizi ni nchi mbili. Zipo na mipaka yake inajulikana kimataifa, ya tanganyiika itapakana na nchi ipi na wananchi wake watatoka wapi.? Kwako tume ya katiba.
Back
Top Bottom