Hawa watu ni nataila sana.....anyway tuache hayo JPM ameshampongeza kenyatta na anakubali kuwa yy ni rais wa awamu ya hii...sasa nyinyi wenzetu mnataka aongee nn mbona wachochezi ivo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli zenu hazina mashiko....na mnaonekana ni wachanga kuelewa mambo!
Kama tukiweza kuammend sheria yetu ya madini automatically na hiyo mikataka itachomoka.....
Na hata kama tukipigwa huko tribunal c tutawalipa fidia yao then ikiisha madini yanaendelea kuwa yetu.....
Na huu ni mfano ktk nchi...
Problem ya kenya ktk construction/ujenzi ni mbaya na imeonywa na world bank kwani inaweza kudondokea pua......bt tanzania we go very smart na few days we over kenya....in every things
Uamuzi wa kuamia idodomya ni mzuri na ulipangwa na mimi ninavyoona unatekelezeka vizuri tu.....uzuri wa serikali yetu ya sasa ipo makini kwa itendaji....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.