Recent content by Hans2009

  1. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 DPP awafutia mashtaka watuhumiwa 57 wa kesi ya UHAINI Ilemela mkoani Mwanza

    Endeleeni kutuona MAFALA tu, UHAINI ninyi unaujua. Watoto km hao UHAINI huo wanautoa wapi? KENGE NINYI, mnapewaje vyeo kwenye Taasisi nyeti km hizo ninyi wajinga? DPP unaitumia vibaya OFISI ya umma kwa maslahi ya watu wachache????? Foolish 😭😭
  2. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali yaagiza Kanisa la Gwajima (Ufufuo na Uzima) lifunguliwe

    Na wakubali kukosolewa:::: all in all tunawataka MLAY, MBISE, CHAULA, MDUDE, LISSU na wote waliopotekwa na kupotezwa warejeshwe wakiwa HAI Na serikali itoe TAMKO kukomeshwa tabia hii ya KISENGE ya kutekana tekana. Kazi ya serikali ni kusimamia na kudumisha HAKI ZA BINADAMU na siyo huu...
  3. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z Tanzania: Tunataka Serikali ya Mpito kabla ya Maridhiano

    Kabisa, hawa madogo hawatanii, wameshaanza kuzoea misiba na risasi. Hawana tena woga. Hawa watatoka hawa bora kwenda shamban
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ma Askari wa JWTZ wote wako Kambini zaidi ya Mwezi Sasa, na haijulikan lini wataruhusiwa kurudi Majumbani !!

    Hawathubutu kuua tena. Jumuiya za kimataifa zinawakaanga barabara
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

    Wakora wanaweza kuingia kupitia upande wowote ule na watz wakawapokea. Watafanya hivyo kwa kuwa HAKUNA TENA UMOJA WA KITAIFA, UZALENDO, UONEVU ULIOKITHIRI WA SERIKALI KWA VYAMA VYA UPINZANI NA WOTE WANAOTUMIA HAKI YAO YA KIKATIBA KUTOA MAONI NA FIKRA MBADALA JUU YA MWENENDO WA TAIFA LETU
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali tunzeni heshima ndogo iliyopo kwenye tasnia ya Sheria. Nyakati hazipo upande wa Udhalimu! Ole wenu

    Acha kutisha watu. Serikali yako yenyewe ipo taabani na pressure kutoka kwa hao mnaowaita mabeberu mnakokinga mabakuli kuomba misaada.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kunatokota sana huku mtaani

    Inaonyesha UJAZAA NA HUNA WAZAZI yaani ni mtoto wa MITAANI.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kunatokota sana huku mtaani

  9. H

    JamiiForums Tanzania ‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya waandamanaji

    Counciousness & Leade
  10. H

    JamiiForums Tanzania ‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya waandamanaji

    Counciousness & Leadership
  11. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi ambayo vyombo vyote vya dola vinapambana kulinda mafisadi, Gen Z walikuwa sio wa kuachwa peke yao

    Uzalendo wa wenzetu ni kuilinda na kudumisha utawala wa CCM na CCM kwa ujumla. Co kulinda AMANI kwa kusimamia HAKI
  12. H

    JamiiForums Tanzania Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

    Kama haya mambo yanaendelea, hii ni hatari sana
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mbowe azuiliwa na Mahakama kwenda Marekani licha ya kuruhusiwa na Spika Ndugai

    Si vema kusema hivyo, Kwan waziri mkuu alisema nchi hii haiongozwi kibabe, sasa kakosa nini hadi azuiliwe kwenda U.S. Kwani yeye ni BASHITE hadi azuiliwe kwenda kule? Waache mambo ya kishamba bhana. Watu wana mishe zao kule, acha wajichanganye
  14. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameguswa na nini hadi kuwakemea waendesha mashtaka kwa kuchelewesha upelelezi kwa watuhumiwa wanaoozea jela?

    Kuelekea UCHAGUZI MKUU kila waliotutenda katka miaka hii baina ya 2015-2020 watajifanya watu wema sana mbele ya sisi wavuja jasho a.k.a WANYONGE kama mzee anavotuita Mara baada ya kututia UNYONGE alipoingia madarakani
Back
Top Bottom