Inawezekana kufanya hivyo ila kuna mambo yakuzingatia kabla yakubadilisha engine.
1 zingatia ukubwa na uzito wa body ili engine utakayoweka isiwe ndogo zaidi.
2 zingatia mfumo wa umeme na aina ya engine unayoitaka.
Kwa ushauri na wataalamu wa Toyota, karibuni super kitasa Jr motor,tupo sinza...
Siyo kweli kaka,unachotakuwa kuhakiki ni lita zinazosoma kwenye pump ndiyo halali yako,muudumu hawezi kukuibia kwa kupunguza pressure ya mafuta hufanya hivyo ili yasitoke kwa kasi,inayofanya kutengeneza povu kwenye tank.
Kwani mbona video inajieleza nae anatoa maelezo tofauti. Video zinaonyesha alivyokuwa anamshawishi diwani kwa kumrubuni kwa kazi na 2m ambayo bado walikuwa wanapatana,hayo ndiyo matatizo ya jimbo?
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Tujiandae kukosa habari za kukosolewa kwa serikali,sasa tutakuwa tunasoma mazuri ya serikali. Wabunge wakijani waajabu sana, cjapata kuona jamii ya watu wa aina ile wanao lazimisha ubaya kuwa uzuri. Wingi wao ndiyo mateso kwa wananchi hawana jipya
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.