Recent content by hans chacha magooge

  1. hans chacha magooge

    Shida ya Tundu Lissu mwepesi kusahau na hana adabu

    We umeelewa nn kuhusu mwanazuoni mana tuanzie hapo labda Sent using Jamii Forums mobile app
  2. hans chacha magooge

    Shida ya Tundu Lissu mwepesi kusahau na hana adabu

    Je, endapo aliyempiga risasi ni nduguzake wa ukawa utaongea nn we unaonekana ni mtoto wa mama kula kulala unaufinyu wa kufikili kunamambo huwez yatolea maelezo kama ww ndo muhusika vile afu nani kakwambia upelelez umeisha juu ya ilo sakata embu kaa kimya kama huna hoja yamashiko yakuongea be...
  3. hans chacha magooge

    Shida ya Tundu Lissu mwepesi kusahau na hana adabu

    Tatizo la vijana wa ukawa mnakuwa na upeo finyu sana nyie kila kitu kwenu nibaya kipi kizur so embu niambie nn faida akishauweleza ulimwengu labda atapata nn mana kama mnawajua au unawajua kwann usiende mahakaman au central ukawa witness wahusika wakamatwe mana unamtaja mtu utafikil ulikuwa naye...
  4. hans chacha magooge

    Shida ya Tundu Lissu mwepesi kusahau na hana adabu

    .... Lisu ni popoma huwez sema kilajambo serikali wanalofanya kwako nibaya hakuna kitu kama icho yapo mema mengi tu serikali yetu pendwa wamefayafanya na wanayafanya sikatai upinzan kaz yake ni kuikosoa serikari iliyo madarakan lakin kwa Lisu imekuwa too much sasa ifike kipind ajue yy ni...
  5. hans chacha magooge

    TBC1 Wanatumia teknolojia gani?

    Jaman msiponde sana chombo chetu cha utangazaji cha taifa maana ndiyo icho icho tuna chojivunia nakuwanacho nichataifa chakwetu so tutoe maoni nn kifanyike na nn kiongezwe au kipi kipunguzwe
  6. hans chacha magooge

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Star times nimewachoka king'amuz chenu nikikiwasha kinanibusu kila muda tu nawakati nakuwa nimelipia kifurushi cha mwez walau nicheki taarifa ya habari ya bei yakorosho signal nishida yan boreshen miundombinu yenu ya mtandao watu tupate raha mustarehe
  7. hans chacha magooge

    Popote ulipo mi ntakufuata tuonane. Sijaweza kusahau miaka zaidi ya 18

    Hahaaa kaishaolewa uyo sindiyomliyekuwa mnamuita Mwajuma Nchokonole kaolewa..... Kaolewaaaa
  8. hans chacha magooge

    House4Rent Nyumba inapangishwa (vyumba vitatu)kimara baruti

    Nyumba nzuri ndio ila marekebisho madogo sana kwenye paa japo haipendez kumpangia bei aliyeijenga endapo ataona hapati wateja I hop atashusha from 500K to 300K or 400k
  9. hans chacha magooge

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Boss lady we kwan fisi Hahaaa demu unakula kongoro tena kwato ya beberu mweee utaota 9t ww kula main malain iv Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom