Recent content by Hanitoni

  1. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)?

    Unaweza ukapewa taarifa ya usalama wako na familia Sasa kama umezima hapo lawama zitakuwa kwa marehemu
  2. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mchepuko aua Mchepuko kwa wivu wa mapenzi

    Sasa Derick anaenda kuwa mke wa mtu jela haya maisha haya
  3. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Polisi Tabora iangaliwe

    Nikweli kabisa vijamaa vinakera Sana vinawapiga Sana hela bodaboda badae jioni vinaenda zero pub kutumbua uhalamia wao
  4. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Wadada amkeni, someeni udereva muwaendeshe Viongozi wa Nchi

    Kingine nisahihi kuwasha gari ikiwa umekanyaga clutch?
  5. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Wadada amkeni, someeni udereva muwaendeshe Viongozi wa Nchi

    Gia hizo 6 mpangilio wake nisawa na gia 5 ambayo 6 no reverse?
  6. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaogopa sindano?

    Tunaogopa kuacha makalio nje na kushikwa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Je, utaendelea na kamari ya betting ligi zikisharudi?

    Ntaachaje Sasa km ninampuna milioni kwa makatuni ije kuwa mpira wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

    ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Covid-19 inawatesa hawa kiuchumi

    Wazee wa mikeka tumepigika sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali; Walimu wa kike waajiriwe kuanzia miaka 35

    Nikweli sema ktk umri umekosea unhetoa suruhisho lingine km labda wasiwe wengi ktk shule au iwekwe Sheria kufanya Mambo yawe vzr Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Tulivyotapeliwa msibani, tapeli alitumia mbinu rahisi sana kiasi kwamba kila nikifikiria nacheka tu

    Nomaaaa sana watu wanatafuta grisi kwa kila namna Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Kijiti cha uzazi wa mpango

    Asante kwa ufafanuzi hata mm nilikuwa sielew kbsa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Katika swala la uzazi, Je hii ni njia sahihi ya kuzuia mimba?

    Mkague mikononi huenda kaweka kijiti.mbegu zikiingia hazizuiliki kirahisi hivo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Hanitoni

    JamiiForums Tanzania Hongereni Wasabato kwa Kutoa Huduma ya Mazishi Bila Ubaguzi wa Dini/Madhehebu

    Situations zp we acha kuleta sababu za kipuuzi puuzi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom