Afrika tumefanya dhambi ya namna tulivyoupokea usasa.Usasa kutoka Magharibi ni wanasayansi kututimizia hisia zilizoundwa na watangulizi wao.
Watangulizi wa mabeberu ni wamishenari.msinywe togwa kwa kuwa ina kimea,soda sawasawa.ngoma za jadi msicheze zinapungisha pepo, piano chezeni.ulanzi a-a...
KATIKA AGANO LA KALE:
Utoaji wa sadaka kwa kila mtu kwa ajili ya ukombozi wa roho yake.(Kut 30:12,14).
A). Sharti la umri: Tangu huyo mwenye umri wa miaka 20, au zaidi.
B). Sharti la kiwango: atatoa nusu shekeli (Kut 30:13).
C). Sharti la mali: tajiri asitoe zaidi na maskini asitoe pungufu...
1. KALIBU (MATH. 6: 30)- jiko la moto mkali.
2. NGAMIA (Math. 23:24) - masimbi,masira; mabaki mazito ya pombe kama vile pombe ya mvinyo au ulanzi. kwa kibena " MBOSO", husababisha pombe kuwa kali zaidi.Huchujwa (Isaya 25:6 - iliyochujwa sana). Baadhi ya watu hupenda kunywa eti yana faida nyingi...
Kuchelewa ni miongoni mwa tabia ambazo hutukosesha matunda ya kuwahi kufanya jambo.
Ni muhimu sana kujitahidi kujenga tabia ya kuwahi kufanya jambo lililokusudiwa kwa dhamiri yako.
Mambo mawili ambayo ninaona yanatuchelewesha waafrika hasa watu wanaoishi vijijini ni:
1. Imani ya kishirikina.
2...
Wakati mwingine unaweza kuwa ulijiuliza bei za bidhaa au gharama za huduma hupangwa kwa kuzingatia vigezo gani?
1. Mfumo wa uchumi (economic framework) unaotumiwa na asasi hiyo.
2.Matakwa ya wateja (customer demand).Wateja wapo tayari kuhimili gharama bila ya kuhama?
3. Washindani...
Haijalishi ni msomi au si msomi.Yafaa sana uendelee kusoma.Na kila aliye na fursa ya kusoma afanye hivyo kwa hiari na shauku kuu tena apate na kuwafundisha wengine (1Tim 4:13).Hakuna elimu isiyofaa wala kusoma kusiko faa.Kuweka malengo juu ya aina ya elimu uitakayo kwa kuzingatia wakati na...
Igula mambo waa!
Igula ni miongoni mwa vijiji vinavyofanya mji mdogo wa Ilembula.Igula ni kijiji ambacho mti mpogolo ambao ni mlembula (asili ya jina la Ilembula ulipo).Ni kijiji ambacho miaka kumi na kuzidi iliyopita kulikuwa na mkwamo wa maendeleo kutokana na imani za kishirikina.Ila sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.