Sio mgao mkuu,unafiki alikua anamwona Dkt.Slaa ndio CDM,ukweli ni kwamba chama hiki kimo mioyoni mwa sisi vijana kwa wingi wetu hata Mbowe akiunga juhudi tupo imara na nikuhakikishie tupo vijana ambao tumeanza under ground movement na tumeplant vijana wengi ndani ya CCM mda utasema just wait.
Wadau,kila napofuatilia ccm inalazimisha kupendwa wakati ukweli ni kwamba watu hawana imani nayo.Chadema inaungwa mkono na wananchi wengi,tatizo viongozi hawafanyi kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.