Recent content by Hamza Kiwanga

  1. Hamza Kiwanga

    Msukule ni nini?

    Hizi naona ni habari za watu wasioamini (au hawaamini kabisa kuwa ndg au rafiki yao anaweza kufa hivihivi tu). Kwa kutoamini huko ndg wa wafiwa huendelea kutafuta (kwa waganga) nini sababu ya kifo. Mganga kwa kuelewa upungufu wa imani yao wengi huambiwa ndg yao bado mzima ila amewekwa msukule...
  2. Hamza Kiwanga

    Kukosea kwa mtamshi ya herufi, kuna changia sana kupoteza maana, hasa kwenye hizi siasa

    Hamjamaliza, mimi huwa sielewi wanaposema hivi; una adabu (akimaanisha huna adabu), abali (habari) awapo (hawapo). niliamini radio Mlimani (sijui radio hii mmiliki wake ni nani maana nimeambiwa haimilikiwi na chuo kikuu (UDSM)itakuwa na watu makini, lakini wee huko usiseme ni shida zaidi...
  3. Hamza Kiwanga

    Tamasha La Clouds FM linawaharibu vijana wetu (After School Bash)

    (After School Bash) ni tamasha wanafanyiwa wanafunzi kama kilivyojieleza kichwa cha habari. Je yanayofanywa kule yana faida kwa hao wanafunzi? Clouds hawana tofauti na wauza unga (huenda ndio wanaofanya biashara hiyo), wanawauzia wanetu baadae wanasema wazazi hatukuwapa malezi mazuri wanetu. Wao...
  4. Hamza Kiwanga

    Nimeghairi sasa kura yangu ni kwa UKAWA

    Sawa leo unawaita magidi baada ya kukosa kura zao, kabla ya hapo uliwaambia vijana kuwa wapinzani wachochezi.
  5. Hamza Kiwanga

    Vituko kombe la dunia (2014)

    Hapo umewamaliza, sasa hivi elimu imedidimia. Utakuta mtu hapandi daladala mpaka aambiwe linaenda posta wakati limeandikwa usoni na ubavuni. Basi la Kimara - Posta anauliza kama linafika Manzese.
Back
Top Bottom