Ndugu wanajamii forum , naomba kuuliza kama chuo kimefungwa , kutokana na matatizo, ni taratibu gani zinafuata baada
ya hapo?
Chuo cha maendeleo ya jamii Mlale kilichopo Songea kilifungwa mnamo tarehe 4/6/2012 na mpaka sasa tamko halijatolewa kwamba chuo kitafunguliwa lini. Baadhi ya matatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.