Recent content by hamsir

  1. H

    Tume ya uchaguzi ifm imemtangaza clinton raisi mpya wa wanafunzi kwa mwaka 2014/2015

    Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) kupitia tume ya uchaguzi imemtangaza bwana Clinton kuwa rasi mpya wa wanafunzi sambamba na makamu wake Maro maro kwa mwaka 2014/2015. Hivyo kuapishwa rasmi siku ya jumatatu tarehe 09/05/2014 maeneo ya ifm. Kwa pamoja tumpe pongezi na kumtakia kila la heri katika...
  2. H

    Ikulu yamtaka Askofu Kakobe aache porojo!

    Kwani kakobe ni mungu? Acheni kupenda kujiweka kimbele mbele yanayohitaji taaluma haiwezi kupeleka mambuzi katika mambo nyeti ya kitaifa. Yeye kamaanataka posho aseme apewe na c kuleta porojo zake za kipuuzi..
  3. H

    Dr. Slaa: Baraza jipya limechoka kabla halijaanza kazi

    Safi sana mkuu unajua hawa madesa waliokuwa kama popo hawaelewi chochote kazi yao kufata maneno ya wachaga wa CDM na kuyafata. Viongozi wamechaguliwa juzi leo mnawadhania dhana mbaya. Subirini tija ndo mseme sio kupayuka kusiko na tija.
  4. H

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    "Chacha died but i wont" ZZK. Ina maana kifo cha chacha wangwe ilikuwa mastermind ya mbowe? Kweli Mbowe hatufai ajiuzulu !!!
  5. H

    Mlipuko tena Arusha, jeshi la Polisi watuhumiwa

    Matukio haya ni ya kutengenezwa kwa lengo la kuichafua jeshi la polisi na viongozi wake waliyochaguliwa hivi karibuni. Tatizo la watanzania wengi hawachunguzi kwa kina namna habari ilivyotolewa kwa kasoro nyingi sana kama mapolisi kutumia magari yao ambayo inayoonyesha taswira yao. Hivyo tuwe...
  6. H

    Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    Hizi huteuliwa kwa process zinzoendeshwa na kamati ya ulinzi na usalama kinachomshauri raisi kuteua viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kama jwtz, polisi, Tiss na kadhalika. Hivyo c suala la udini wala upendeleo bali ni uweledi na ufanisi wa majukumu ndio inayopelekea kuwateua wasaidizi kwa...
  7. H

    Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

    Hapana bunge la katiba lina uwezo wa marekebisho yoyote yatakayoonwa yanafaa kurekebishwa, pia wananchi watahusishwa kwenye bunge hilo kupitia taasisi, jumuiya, vyama vya siasa, wakulima, wafugaji, wafanyakazi, waajiri na mashirika mbalimbali ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali na mwisho wa...
  8. H

    Wapinzani: Tarehe 10 Oktoba 2013 ni Maandamano ya nchi nzima

    Hilo ni jambo lisiloyumkinika kwa mwenye akili na muelewa mambo, mswaada wa katiba imeandaliwa kutokana na maoni ya wananchi na kutengenezwa katika muundo wenye kuafiki maoni ya wote ila kama chadema inasema haitaki bac hawakubali maoni ya wananchi
  9. H

    Wapinzani: Tarehe 10 Oktoba 2013 ni Maandamano ya nchi nzima

    Sijui hawa chadema wataelimika lini na upuuzi waliyonayo, wasubiri FFU wafanye kazi yao kwa vyama visivyo na tija kwa nchi yetu.
  10. H

    Tanzania yatengwa rasmi na nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ( EAC )

    Kuing'oa CCM ni ndoto na EAC hujui asili yake. Kaa kimya wakubwa wakiongea.
Back
Top Bottom