Recent content by hamisi mohamedi

  1. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Mkuu naomba msaada wako kichwa kinanisumbua sana kinauma kichwa kizima kuanzi mida ya SAA 10 jion hadi mida ya kulala kila siku naumia sana
  2. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Mtoto kufanana na mtalaka wa mke ni kitu cha kawaida

    Kitanda hakizai haramu
  3. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Niaje wana JF

    Za saiz wadau
  4. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nina huzuni,kila ninayempenda ananikataa

    Nashukulu kwa ushauli wako brother
  5. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nina huzuni,kila ninayempenda ananikataa

    Mm najua umu ndani wapo watalamu wa mambo haya nisaidieni mwenzenu nimekwama
  6. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nina huzuni,kila ninayempenda ananikataa

    Brother changia ki2 mdogo wako nipate jiko mm naamini kua yeye hana mchumba lakini anasingizia 2 ivyo ili mm nishidwe
  7. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nina huzuni,kila ninayempenda ananikataa

    Flesh Kaka nipe story
  8. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nina huzuni,kila ninayempenda ananikataa

    OK nimekupata vizur nitafanya ivyo brother
  9. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nina huzuni,kila ninayempenda ananikataa

    Nifundishe brother
  10. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nina huzuni,kila ninayempenda ananikataa

    Nifundishe maneno ya kumshawishi ili awe wangu
  11. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nina huzuni,kila ninayempenda ananikataa

    Sawa lakini mkuu anasema kwamba yeye anamchumba ndio maana ataki kumsaliti m2 wake lakini mm nimempenda kinyama nifanyaje?
  12. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nina huzuni,kila ninayempenda ananikataa

    Jamani mwenzenu nikimtongoza msichana anakataa nipeni Ushauri au sijui kutongoza?
  13. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Niaje wana JF

  14. hamisi mohamedi

    JamiiForums Tanzania Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

    Iko poa sana nakala yako
Back
Top Bottom