Recent content by Hamis Nyangwa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Waiting for perfect men(girls mtajuta)

    naamin naweza kukushauli ndugu yangu mwanaume/mwanamke alie kamili auwez ukampata bila kuonja hayo mapungufu yake japo kidogo. wapo wanaume/wanawake ambao wako njema kwa ajili yako, ila kutokana na maswaibu meng yaliomkuta akakata tamaa na kuchenji
  2. H

    JamiiForums Tanzania Je jeuri ya Ponda ni udhaifu wa Rais Kikwete? Mbona 2000-2005 hakua na jeuri na kiburi hiki?

    labda nikwambie kitu ambacho una elimu yake, uislam ni dini ya kitaaluma katika nyanja zote. iwe kiuchumi kisiasa na kiutawala. ila ufahamu una maadui wengi ikiwemo na wewe na kuusakama mpaka uonekane hauna maana. la kukushauli tu soma vizuri vitabu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume bana kila kitu husingzia wanawake!! mwisho leo na nisisikie tena

    Nahitaji kuwajulisha kitu wana jf. hakuna mwenye jina la usaliti katika viumbe hiv viwili yani mwanamke na mwanaume. kimsing hapa ni kufaham kwamba kila binadam ana mapungufu yake, kwa hy mmoja miongoni mwa viumbe hawa wawili anaweza kua msalit.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niwe na six parts jamani?

    ngoja nikwambie mtu wangu ao ote hajakusaidia ila wamekuponda. kama unataka kweli izo six packs usiogope, kuna mazoezi ya kufanya ambayo yatakuwezesha kua na izo six pack zako. zoez la kwanza, ulale kichali na kukaa bila ya kugeukageuka, oh no space
  5. H

    JamiiForums Tanzania unatafuta mafundi umeme? usiangaike!

    kisenzo compan ni wataalam waliobobea katika fani ya umeme wa majumbani, wanatoa huduma zote zinazo husiana na umeme wa majumbani, kwa maelezo zaid piga sim no.0719286457au emeil: hamiselectricalmaintainance@gmail.com
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kila akifika kilele ananing'ata meno

  7. H

    JamiiForums Tanzania Kila akifika kilele ananing'ata meno

    si kweli unayoyaongea ingeka hayo unayoyaongea ni kweli wangekua wameshatemana kitambo 2.
  8. H

    JamiiForums Tanzania WARAKA: MMU members, kwa wanaotaka kuoa au kuolewa

    daa! kweli vijana tunaotaka kuoa/kuolewa tujipange kkbiliana na changamoto nzinto zilizopo mbele yetu.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuwa na wachumba wengi kama sampuli ya kupata mke mwema...?

    tutapoana tu brother kwani wanawake wengi wa sasahivi hawaeleweki
Back
Top Bottom