Recent content by Hamim mihayo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

    Sawa!! lakini...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nimemkataa baba mzazi, na sitaki kupima DNA

    big up sana! hizo ni hasira za mother tu ! father ndiyo huyo aliyekulea
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kinana: Msilaghaike na kikundi cha wasaka madaraka kwa mgongo wa hoja ya serikali tatu.

    Kinana anachoongea ni true kwani serikali tatu ni kutafuta madaraka kwa hao ukawa,kama wanaitakia nchi hii mema si wapigie debe serikali moja? kupigia debe serikali tatu ni ukweli usiopingika ni uroho wa madaraka.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Methali za kizazi kipya

    usipoziba ufa watakuchungulia,2)mwenda pole kachoka 3)Aliyoko juu anapunga upepo 4)simba mwenda pole anaogopa yanga
  5. H

    JamiiForums Tanzania Methali za kizazi kipya

    Mwenda pole kachoka! simba mwenda kimya anaogopa yangai
Back
Top Bottom