Recent content by Hamil Kharus

  1. Hamil Kharus

    Usumbufu wa kupata vitambulisho NIDA

    Sasa Kuna kazi Huezi kufanya Bila Hicho kitambulisho kupata tatizo,Mi Naomba wabunifu njia nyengine
  2. Hamil Kharus

    Usumbufu wa kupata vitambulisho NIDA

    Lini watabadilisha utaratibu maana hii Njoo baada wiki,mwezi,Miaka inaisha hupati,ukija waambiwa lete hichi mara hichi Zoezi hliishi
  3. Hamil Kharus

    Usumbufu wa kupata vitambulisho NIDA

    cjui wanajipangaje maana ikiwa ndo hivi maana unakata tamaa kabisa
  4. Hamil Kharus

    Uvumilivi unanishinda

    Kikubwa Nikuomba m/mungu akupe subra zaidi
  5. Hamil Kharus

    Uvumilivi unanishinda

    Allah akulinde
  6. Hamil Kharus

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna Tatzo la umeme hawezi kuwasha fridge Wala microwave nimetoa tarifa a mkoa wa kinondoni ni Kapewa kumbukumbu no Hadi Leo cjawaona, yatakiwa nifanyaje
  7. Hamil Kharus

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni Kwanini tokea nibadilishiwe miter matumizi yameongezeka
Back
Top Bottom