Hizo ni propaganda za TCRA lakini hawana makali ya kutoa adhabu kituo kama TBC kinategemea kodi zetu bado ni wanazi wa CCM wakati ni mfumo wa vyama vingi. Ili TCRA ionekane inafuata sheria idiriki kuifungia hiyo media tuone kweli wanajua kuwajibika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.