bora hata umewaambia kwa maana wengi humu wanaongea kulingana na vile waonavyo na macho yao na sio kiufundi, baati nzuri me ni mmoja wa kati ya watu walioshiriki ujenzi wa udom, nianze kuongea kuhusu CRJE, hii ni super power construction co kwa nchi yetu huo ni ukweli, so tuache unafiki usiokuwa...