Us
Kwanza huo mradi ulikua unasubil airport ikamilke promotion ifanyike kwa vivutio vya Kanda ya ziwa then ungepat muwekazj bt hawatak kumaliz airport wanajzungusha tu ili mji usiendelee mwanz ikipt utalii kidog tu watu watapteana ukanda fulan
H
Mzee umewaz km mim wala hawez kkubal mwnz ikaendelea nashngaa wanavosem vivutio et n sa nane wakt inshu ilikua kwa ajil ya serenget na hifadh za karbu ya Kanda ya ziwa wanatafut sabb mradi uonekne Haun maan ili wawekazaji wakubw wasje mwanz ili isiendelee wafanye promotion wapange mji...
N kwsabb pia serkal haijaamua kuipromote Mwanza kupitia serenget na vivutio vya Kanda ya ziwa kiukwel sku zote mwanz n km ipo yenyew kbsa n km haipendwi inakutan na chuki kutok kw viongoz weng na baadh ya ukanda fulan n jiji la pili tok miak ming lakn miundombinu inachekesha km asngekua jpm...
Km umeangalia vzurii serkal hii hain mda na mwanza kbsa wala haitak kuiskia kun miak ming ya kulia mpk mam atoke madarakn itakua coz watu wa mza hawan mda nae... Anafny tu baadh ya mirad coz hamn namna n seem potential kwen nchi ukizngatia n kitovu cha lake zone kun population Zaid ya 35ml...
Unadhn uwanja ukiwa na hadhi ile hotel ya five ikakamilk si itahitaj wataliii au unadhn utakuj ww kulal pale! Obvious watapromote vivutio vilivo karbu na mwanz na serenget na vingne inshu n promotion en advertisement nzurii serenget ipo karbu San kutokea mwnz na usiombe mwnz ikawa na watalii Ata...
Afu
Hii variation ipo kila mwka ndo Maan kun takwimu kila mwaka alafu pia unatak ujue kwa nchi yetu ya tz n tofaut na nchi nyngne hii nchi serkal inapotia nguvu na mkazo mahala fulan na jicho lake mapato yanaptkn Kwan we uliwah kujua dodom itakuja kuizd arush au mwanza au ww Dom kua juu yko we...
Iv
Duh ww unaongea kwanz natak nijue we n Tajir au kwann unawachukia maskin na serkal yetu ndo imetengez hayo mazngira unadhn nchii watu walipaswa kua maskin?... Bila wiz ujanja kukwepa kulipa kodi na baadh ya nyadhifa ambzo n chache unadhn kua Tajir tz n rahis!! Afu unajisfia vitu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.