Naamini hakuna cha gesi wala nini, hyo ni danganya toto tu. Tatizo nchi yetu ni yakisanii. wakati inawashwa mitambo walituhakikishia kuwa umeme utakuwa wa uhakika. one day after tatizo linaendelea. kwa style hii mtz kuendelea ni shida. wengine huku umeme umeshakuwa anasa. unarudi usiku na...
Inamaana nawe ulikosa kabisa wa kwako mpaka uanze kutamani wa rafiki yako? kama ulitambua urafiki wenu ni muhimu why uanze kumtongoza demu wa rafiki yako. Nakushauri acha hiyo tabia coz next time unaweza ingia pasipoingilika yakakukuta makubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.