Recent content by Hall of famer

  1. H

    Vijana lini tutabadilika

    walioleta uchawa nchi hii ndo walioharibu kila kitu .... inasikitisha yaan huoni professionalism , creativity zero kbs etc. Imagine media za bongo zina mavipindi mengi ya hovyo wamejikita kwenye umbea cz ndio content wabongo wengi wanapenda ,badala yakutumia muda mwingi kuhamasisha umma juu ya...
  2. H

    Acha nicheke mie😄😄😄

    Nini tatizo apo sasa?? Hakuna ata chakuchekesha
  3. H

    Nitapata wapi hii Drill Brush

    Kuna duka moja la tools la wahindi, liko maeneo ya Posta pale Askari monument unaacha barabara yakushuka clock tower ,kuna barabara inaingia kulia, mwanzon tu apo. Hata ukiuliza kwa maduka ya wahindi apo around watakuelekeza .... Ukikosa apo, shuka mtaa/barabara ya Morogoro road uko uko Posta...
  4. H

    Tofauti na K.koo, ni maeneo yapi DSM yenye mzunguko mkubwa wa pesa?

    Nenda Mbezi Mwisho (mbez kimara) , thank me later .
  5. H

    Wamarekani Wenye Asili ya Afrika waamua kurejea Nyumbani hasa hasa Tanzania

    Mkuu umenichekesha sn aisee , naona unawiwa kujua idadi yao kwnz kabla ya chochote.
  6. H

    Wamarekani Wenye Asili ya Afrika waamua kurejea Nyumbani hasa hasa Tanzania

    Hongera yao .... Ila kwa system yetu bongo , watakaa miez kadhaa wakianza kusaga rumba wenyew wananyanyua mabegi wanasepa. Namfaham mmoja alikua mshkaj wangu miaka ya 2006, ali survive km miaka 2 akaona bora arud zake state.
  7. H

    Mashuleni na Vyuoni ni Kuchafu

    Yaan tatizo ni kubwa nafkir kuna mengi yanachangia. Kwanza, unakuta wanafunzi wengi hasa waliokulia bush uko anakuja kukutana na choo chaku flash akiwa chuo , ni wachache sn wana adapt na kua wastaarabu otherwise ni disaster. Pia kwenye taasisi za umma ,yaan kuna ile hali ya "who cares?" Hakuna...
  8. H

    Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    From Biblical point of view, kuna wafalme wawili ambao walikutana na Mungu in action (wapo wengi zaid, just to mention few). Wakwanza ni mfalme Belshaza, huyu alipigwa tukio Live , alitumiwa ujumbe ukasomeka ukutani (Maneno) cz alilewa madaraka, akaambiwa kua Ufalme wako umefika mwisho wanakuja...
  9. H

    Sitarudia tena kuruka kwenye Daladala ikiwa Haijasimama kama Makondakta

    Hiyo ni "Inertia" in application mkuu , pole sn!!
  10. H

    Kwanini Dar kuna shida ya maji wakati bahari ipo hapo hapo?

    Maamuzi yakununua midege yanafikirisha sana .... Sawa, ndege zinaweza kua na faida kwa kipindi sahihi ila sio Sasa. Ukitafakali kwa kina sababu zakununua midege ata huoni, safari za ndan hakuna sababu purchasing power ya watu na mzunguko wa pesa umeanguka kwahyo hakuna watu wengi Wana afford...
  11. H

    Waziri Mchengerwa anena kuhusu watumishi wazuri

    Rejea comment aliotoa CAG Prof Assad, watumish wengi wa serikali Wana uwezo mdogo sn .... Tafuta smart gov employees kwa ngaz ya wilaya idara mbali mbali unawezakuta ata 50 hawafiki. If only serikali ingeweka nguvu kwenye kutatua hili wange save pesa nyingi sn, tunapoteza fedha nyingi sn sababu...
  12. H

    Wapi nitapata gari za mkoani Arusha Usiku

    Nenda mwananyamala karibu na ofis za dawasa ulizia jamaa wanaitwa Geamos, wanasafirisha percel Moshi na Arusha , usiku wanapakilia abiria Rombo/Kibo.
  13. H

    Msala ambao siwezi usahau kamwe

    Dah nmecheka sn mkuu, aisee umenikumbusha mbal sn izo mambo zakutega vibaruti, ila hii invention yako ilikua next level yakutumia jek ilokufa.
  14. H

    Social distancing kwenye mabasi irudi, RC Makalla tusaidie

    Pole mtoa mada, naona wengi wameishia kuku attack ,inaonekana propaganda za awam ile ziliwaingia sana watu, waliaminishwa hakuna Covid na wakaamin. Kwa mtu aliepoteza ndg/rafik au mtu wa karib kwa ugonjwa ule ataelewa point yako.
  15. H

    Wizara ya Afya yatahadharisha uwepo wa wimbi la tatu la Covid-19

    Sion km Kuna seriousness apo, wabongo hua tunachukulia vitu poa sn, hili jambo kwa uzito wake ilitakiwa atoke hata Mh. Rais atangaze serious juu ya ulazima wa watu kuchukua tahadhali maeneo yote. Vinginevyo, utakuta wanachukua tahadhali wachache tu Kati ya wengi na haitosaidia kitu. Imagine...
Back
Top Bottom