"Mara zote huwa nawaachia wachezaji wangu wamchague nahodha wao, sikupenda kilichofanyika msimu uliopita, msimu huu nitachagua nahodha mimi mwenyewe," kauli ya kocha wa Manchester City, Pep Guardiola kabla ya msimu huu kuanza.
Linapofika suala la uteuzi wa nahodha wa timu huwa kuna vigezo vingi...
Namba huwa hazidanganyi. Jonathan Sowah ni mshambuliaji wa kati bora. Akiwa katika Ligi ya Ghana mwaka 2023, alicheza mechi 28 na kufunga mabao 16 na kutoa assisti moja (1).
Nchini Ghana alikua akicheza katika klabu ya Medeama. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika alicheza mechi nane na kufunga mabao...
Ni wakubwa kiumri, wachanga kiuongozi. TFF ilianzisha mwaka 1945 na kujiunga Uanachama wa FIFA mwaka 1964. Chama cha Soka Afrika Kusini (SAFA) kilianzishwa mwaka 1991.
Mipango mingi inayopangwa na TFF kwasasa ilipaswa kupangwa miaka mingi nyuma. Changamoto nyingi zinazojitokeza kwenye mpira wa...
Muongo mmoja uliopita mwanaume mmoja aliamka asubuhi, ili kuhudhuria mazoezi ya klabu baada ya kukamilisha safari muhimu katika maisha yake, kutoka nchini Brazil hadi nchini Urusi. Isivyo bahati, alishindwa kutokana na maumivu makali kifuani mwake.
Nywele zake za rangi ya nyeusi na sura yake...
Hii ndiyo safari ya soka la Afrika Kusini
Chama cha mpira wa miguu nchini Afrika Kusini kilianza safari ya mafanikio na maendeleo kwa waamuzi na viongozi. Waliwatengeneza waamuzi wenye weledi wanaofanya kazi zao 'kiprofeshino' na viongozi wenye sifa zote kumi na mbili za kuwa kiongozi bora...
CONTE, ULIWEZA KUMUUMBA COSTA MPYA JUU YA NYAMA ZAKE.
Asubuhi na mapema kibaridi kikiwa kinapenya ipasavyo juu ya ngozi yako. Macho yanatua juu ya kidirisha cha chumba chako, unafurahia kuona jinsi nuru taratiibu inavyochukua nafasi ya giza, moyoni unajisemea "ahsante muumba wangu kwa kuiona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.