Watanzania sote tunajuana,wasafi kila chama wapo wachache, wachafu kila chama wamejaa,wauwaji wamejaa kila chama. Mafisadi wapo vyama vyote.wezi,wazushi.n.k. hivyo mbadala w a Ccm aje mwenye sifa tofauti na Ccm.
Usimuingize Mungu ktk mambo yenu ya vyama.mungu hapendi madudu yenu mnayofanya ktk siasa zenu za kishetani. Hakuna chama safi cha upinzani kilichoanza na Mungu.
Nionavyo Mimi wabunge wote wa binafsi tu.Suala lolote ambalo wabunge watafaidika moja kwa moja hakuna hupinzani wala chama tawala., wote wanakuwa wamoja.Hapo
watanzania ndio watakao umia na kuachwa bila watetezi.Hakuna chama makini wala chenye uchungu na watanzania.WOTE WASANII TU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.