Recent content by HAKIMSITUNI

  1. HAKIMSITUNI

    Watanzania wazalendo, mgombea wa CHADEMA ametudhalilisha sana, hatufai hata kwa udi na uvumba

    Asiyetufaa ni huyu anayetukana mama zetu, dada zetu, kichwa chake kimejaa ngono, na safari hii hatukabali, tumemchoka.
  2. HAKIMSITUNI

    Mahakama ya Wilaya ya Songea imewaachilia huru viongozi wa BAVICHA

    Hahahahaha haina shida naona jeshi linahimarika
  3. HAKIMSITUNI

    Mahakama ya Wilaya ya Songea imewaachilia huru viongozi wa BAVICHA

    BREAKING NEWS TOKA SONGEA LEO tarehe 03/08/2020 Mahakama ya Wilaya ya Songea imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa inayowakabili viongozi wa chama Mkoa wa Ruvuma akiwemo M/kiti wa Mkoa Mh. Aden Mayala, Mwenyekiti BAVICHA Songea Mjini Ndugu Belchomans T. Ponera na wengine 6, kesi ambayo kwa upande wa...
  4. HAKIMSITUNI

    Ubinafsi wa Serikali ya awamu ya tano itaingiza nchi kwenye machafuko

    Kwa mambo yanayoendelea na ubinafsi wa serikali ya awamu ya tano itaipeleka nchi kwenye machafuko. 1. Wanamtumia msajiri wa vyama vya siasa il kufarakanisha jamii kwa hoja za kijinga sana. Hili la Kutishia kukifuta chama cha ACT hawajafanya kwa bahati mbaya wana malengo yao. 2. Hii funga funga...
  5. HAKIMSITUNI

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Tatizo hapa kila mmoja anajifanya anawaponda hao vijana wakati nyie ni miongoni mwa hao vijana wanaojadili hizo pumba. Shida iko hiv, hapa tanzania watu wenye mawazo hayo pumba ndio wanafanikiwa kuliko hao watu ambao wana uwezo wa kujadili mambo ya maana. Mfano , mmiliki wa JF na uwezo wake...
  6. HAKIMSITUNI

    ASKOFU WA KATOLIKI SONGEA AICHARUKIA SERIKALI JUU YA KODI ZA KIJINGA.

    Askofu wa katoliki jimbo kuu la Songea, Askofu Dammian Dallu ameicharukia Serikali juu ya utaratibu wake mpya wa kukusanya mapato na kuwataka kuwa na leseni katika Vituo vya watoto yatima, walemavu na watu wenye mahitaji, ameitaka serikali iwe wanatumia akili kuwaza mambo yake na sio...
  7. HAKIMSITUNI

    Kisutu: Mahakama yawafutia Mashtaka Harry Kitilya na wenzake, Polisi yawakamata tena

    Uchochezi ni neno linalotumiwa na wana CCM, pinga hoja kwa hoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. HAKIMSITUNI

    Kisutu: Mahakama yawafutia Mashtaka Harry Kitilya na wenzake, Polisi yawakamata tena

    Mahakama zetu haziko huru, hawa jamaa wanatuona watanzania ni wajinga sana, ipo siku hawa polisi wanaowategemea hawatatosha kabisa kutuliza hasira za vijana wa kitanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. HAKIMSITUNI

    Kisutu: Mahakama yawafutia Mashtaka Harry Kitilya na wenzake, Polisi yawakamata tena

    Tuna siasa za kijinga haijawahi kutokea, siasa za chuki, upumbavu, wanakera sana, hivi ni kwanini wana CCM wana akili za kijinga hivi....? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. HAKIMSITUNI

    Kisutu: Mahakama yawafutia Mashtaka Harry Kitilya na wenzake, Polisi yawakamata tena

    Kweli hii nchi haina haki kama haupo CCM, Haiwezekani mtu mumsoteshe magereza kwa miaka zaidi ya minne sababu za kisiasa tu, ni ya majuha wa hali ya juu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. HAKIMSITUNI

    Ipi ni sehemu sahihi ya matumizi ya maneno 'Tanzania' na 'Taifa(National)' katika majina ya Taasisi za umma?

    Kwa uelewa wangu, "National" hutumika kwa lengo la kupata nguvu ya kibiashara hasa kwa Taasisi zenye umiliku hasa wa sector binafsi, Lakini "Tanzania" hutumika kwa taasisi za serikali moja kwa moja. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. HAKIMSITUNI

    Musiba ashindwa kuwasilisha utetezi dhidi ya Membe mahakamani

    Hapana mahakamani ndio tutamjua aliyenyuma yake coz atasaidia kulipa. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. HAKIMSITUNI

    Mtaani kwetu hakuna kabisa stori za Lissu

    Itakuwa upo venezuela. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. HAKIMSITUNI

    Sasa ni muda wa kuwafuta uanachama Magufuli na Polepole

    Na la ben wa saanane, tundu lissu, upotev wa t. 1.5 nalo tuwaachie ni la chama.
Back
Top Bottom