Ipi ni sehemu sahihi ya matumizi ya maneno 'Tanzania' na 'Taifa(National)' katika majina ya Taasisi za umma?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
12,044
2,000
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu nipo mzima kabisa wa afya.

Ni sehemu gani sahihi ya kutumia maneno "Tanzania" na "National"?

Mfano: Tanzania Football Federation (TFF) kwanini isingekuwa National Football Federation (NFF)

Mfano: National Bank of Commerce (NBC) kwanini haikuwa Tanzania Bank of Commerce (TBC).

Mfano: Tanzania Foods and Drugs Authority (TFDA) kwanini isingekuwa National Foods and Drugs Authority (NFDA)

Mfano: National Insurance Corporation kwanini isingekuwa Tanzania Insurance Corporation?

Ni wapi tunatumia neno Tanzania na wapi tunatumia neno National?

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
IMG_20181203_121456_984.jpg
 
tempid

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,023
2,000
Okay sawa mkuu. Asante sana. Kwahiyo NBC inapoingia mikataba ya nje ya nchini wanabadili jina ndani ya mkataba badala ya kuita NBC inatwa Tanzania Bank of Commerce??? NIC ikiingia mikataba na wawekezaji wa nje ya nchini badala ya kuwa NIC inaandikwa Tanzania Investment Center kwenye contracts???
Locally literally not functionally. Yaani nikiwa Tanzania nikisema NBC nitaeleweka nazungumzia nini au nikisema National carrier inajulikana ni ATCL ila nikiwa Kenya nikizungumzia NBC inabidi nifafanue.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,543
2,000
Okay sawa mkuu. Asante sana. Kwahiyo NBC inapoingia mikataba ya nje ya nchini wanabadili jina ndani ya mkataba badala ya kuita NBC inatwa Tanzania Bank of Commerce??? NIC ikiingia mikataba na wawekezaji wa nje ya nchini badala ya kuwa NIC inaandikwa Tanzania Investment Center kwenye contracts???
Kwenye Mikataba kuna kipengele mwanzoni kabisa, kinachoeleza majina yanamaanisha nini, ili hapo baadae kusiwe na mkanganyiko. Jina halibadiliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAKIMSITUNI

Member
Mar 22, 2017
73
125
National hutumika locally. Yaani ukiwa hapa Tz ukisema National bank of commerce utaeleweka ila ukiwa nje ya mipaka yetu hutaeleweka.
Tanzania unaweza kutumia hata nje ya nchi. Ukisema Tanzania football federation utaeleweka.
Kwa uelewa wangu, "National" hutumika kwa lengo la kupata nguvu ya kibiashara hasa kwa Taasisi zenye umiliku hasa wa sector binafsi, Lakini "Tanzania" hutumika kwa taasisi za serikali moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,652
2,000
Okay sawa mkuu. Asante sana. Kwahiyo NBC inapoingia mikataba ya nje ya nchini wanabadili jina ndani ya mkataba badala ya kuita NBC inatwa Tanzania Bank of Commerce??? NIC ikiingia mikataba na wawekezaji wa nje ya nchini badala ya kuwa NIC inaandikwa Tanzania Investment Center kwenye contracts???
mikataba gani kwa mfano?
 
NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,982
2,000
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu nipo mzima kabisa wa afya.

Ni sehemu gani sahihi ya kutumia maneno "Tanzania" na "National"?

Mfano: Tanzania Football Federation (TFF) kwanini isingekuwa National Football Federation (NFF)

Mfano: National Bank of Commerce (NBC) kwanini haikuwa Tanzania Bank of Commerce (TBC).

Mfano: Tanzania Foods and Drugs Authority (TFDA) kwanini isingekuwa National Foods and Drugs Authority (NFDA)

Mfano: National Insurance Corporation kwanini isingekuwa Tanzania Insurance Corporation?

Ni wapi tunatumia neno Tanzania na wapi tunatumia neno National?

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
View attachment 1036968
MARHABAAA DOGO LANGU LA MWISHO
 
georgeallen

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
3,754
1,225
Kwa uelewa wangu, "National" hutumika kwa lengo la kupata nguvu ya kibiashara hasa kwa Taasisi zenye umiliku hasa wa sector binafsi, Lakini "Tanzania" hutumika kwa taasisi za serikali moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
National Insurance Coorporation siyo taasis ya serikali? National Microfinance Bank je? national stadium nayo je? National institute of productivity (NIIP)??? National Parks je???
 
GAS STATE

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,770
2,000
kifupi hakuna mwongozo ikilichopo ni waadau kuangalia ipi itapendeza kati ya taifa na nchi. mfano National Chamber of Commerce=NCC na Tanzania Chamber of Commerce=TCC ikiwa kuna taasisi inatumia ufupisho mmojawapo tujaalie ni TCC basi serikali itatumia NCC n vice versa is true. haya maneno yana maana sawa
 
  • Thanks
Reactions: cmp

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
1,947
2,000
Tanzania inatumika kama kiwakilishi cha Tanzania bars..yani taasisi zinazotumia Tanzania zinafanya kazi bars tu.na kule kuna nyingine zinafanya kazi kwa jina la Znz...

mfno Tanzania tuna TFF..wakati Znz Luna ZFA...

Huku kuna TRA kule Luna ZRA

Ukiona taasisi inatumia National katika Nina lake hiyo inamaana kote bars na visiwani pia zipo na zinafanya kazi saw a..chini ya eidha bossi mmoja ama mkurugenzi mmoja..
 
Kwa maana hiyo TPDF (Tanzania People's Defense Force) ni kwaajili ya Tanzania bara tu na si mpaka visiwani??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom