Nakubaliana nawe Kuwa kweli hawa wenye kampuni wanajia kinacho endelea MIE ni mmoja wa waadhirika na wizi HUO tangu tarehe 22/6/2016 mpaka Leo nasumbuliwa Voda tatizo baada ya kutoa taarifa hiyo ajabu huyo Mteja bado aliweza kuamisha hiyo m4 taratibu mpaka ikabaki laki je hapo NANI muhusika...
Mlango mmoja ukifungwa mwingine lazima upatikane ni kwa namna gani ? Ni mungu ndie alie jua hayo na a najua itakuwa je. KIBAYA zaidi nionavyo Mimi wana sahau Kuwa ni Binadamu wenzao wenye Akili Kama wao fikira nk so time will te..msingi uwe wa kutunza Amani na uvumilivu tu ukweli upo tu.
Sio Dodoma tu Mikoa ile ambao 0 zimewatawala ni shida sana wabunge wao chunguzeni sio nawatukana ila ni ukweli hivyo kitu cha kwanza kwao wangepigania elimu ili watoke walipo chongo ni kiongozi wa msafara wa vipofu.
Ni kweli hawana uwezo wa kuwanyima wakitaka wawafukuze na UBUNGE Kama wanaweza, Sisi ndio waajiri wao, Embu chunguzeni kwa Makini sana Mikoa yenye wajinga wengi, Ombaomba na wavivu hutoa wabunge sio huwa na kihere sana ili nao waone Kane sio makosa Yao ona Dar,Mbea, mwanza, Mara,nk wasomi tele...
Na dhani huja Kua na Kama UMEKAUA huna mtoto zaidi ya simu hujui uchungu wa kumpotezea mtoto muda upo kishaki zaidi, Ujue huja kua ni pale unapo sema mpaka 2020 sie ndio tulio wengi tulio watuma na ukweli mnaujua japo mdomoni mnajivunia 2020 tuombe Afya, Kama wewe ulivyo sema AMANI I tawale Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.