Recent content by haka

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga dar

    Asante, napendelea sana vyumba viwili mkuu. Vp mazingira yakoje? Maji yapo?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga dar

    Habari zenu wakuu, Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya magomeni au upanga.Budget yangu ni sh 200,000/=.Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kuipata hiyo nyumba. Mbarikiwe.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nimepata Kazi

    Namshukuru Mungu kwa kunipatia kazi STAMICO, tuendelee kumtumaini Mungu kuna siku tu kila mtu atajibiwa maombi yake.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa marudio ya dhahabu - unauzwa.

    Kama unaendelea kuzalisha, maana yake ni kwamba mtaji sio tatizo. Vp upatikanaji wa marudio na gharama yake?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hedhi

    Habari zenu wana JF Nomba msaada rafiki yangu anatatizo la kubadilika mpangilio wa hedhi,mwezi wa nane alikuwa na mzunguko wa siku 27, mwezi wa tisa siku 26, mwezi wa kumi siku24 na period imekuwa ni heavy flow. Anaomba msaada wa kujua tatizo ni nini.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Use your face as your password

    Inafanya kazi kwenye htc?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Kinyerezi bei sh 300,000 kwa mwezi

    Je bado ipo hiyo nyumba?
Back
Top Bottom