Recent content by Hajbaruan

  1. H

    GE2025 Nchimbi: CCM Itahakikisha Katiba Mpya inapatikana

    Kama kweli mlikua na nia ya kuleta Katiba Mpya mngeileta mwaka huu Kabla ya Uchaguzi! Rasimu ya warioba ipo tayar, mnataka muanze kuunda tume? Tume ya ngapi ? Kila siku tume tume #Wahuni wako wengi sana
  2. H

    RC Kilimanjaro: Nilivaa kanzu na kofia, wahudumu hospitali ya Mawenzi hawakunitambua, nikasubiria huduma kwa saa tatu ikabidi nianzishe fujo

    Hapo napingana na wewe ! Hospitaly nyingi za Serikali wako hivyo kipindi hiki ila kipindi cha Mh Magu nidhamu ilikuwepo,, Mawenzi wanazingua kitambo tu,, Ukiacha kcmc kuna st joseph mbona wako vizur tu kwenye kutoa huduma?? Nyie ndo wahuni wenyewe hamtaki kuambiwa ukweli , mkiambiwa ukweli...
  3. H

    GE2025 Vurugu Kata ya Upanga Magharibi – Dar, Mtia nia wa Udiwani ashambuliwa, Polisi waingilia kati

    Haki isipo kuwepo mahali popote pale hakutakua na Amani
  4. H

    Responded NIDA: Kitambulisho kikifutika kilete Mkandarasi atakichapisha upya bila malipo

    Kuna Watu wanavitambulisho vya Nida lakini namba imefungiwa au kuna mtu ana namba lakini imefunguliwa Imesababisha Kero Kubwa sana Kwa wananchi coz mtu anashindwa kufanya mambo yake! Kwa mfano mtu amepoteza simu au imeibiwa akienda kurenew line inakataa coz namba ya Nida imefungiwa ni Changamoto...
  5. H

    Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

    Wasaidie kwa uwezo wako ukiwa huna waambie sina! Usichoke kuwasaidia ndo Maisha yalivyo,,! Kila kitu kina sababu zake unaweza kuta unavyowasaidia na wewe mambo yako ndo yanaenda! Au unahisi Tangu uwe unawasaidia kuna kitu kimepungua?
  6. H

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026

    Sijasikia Kabisa Suala la Umeme kushuka Bei,, Tumejenga Bwawa la Mwalimu Nyerere mpaka sasa Faida yale haijajulikana moja kwa moja Tulitegemea umeme utashuka bei ili wananchi watumie Nishati safi Tusahau kutumia kuni lakini Mradi umekamilika bado Umeme tunanunua bei kubwa ndio maana wananchi...
  7. H

    PreGE2025 Tarimba ataka CCM kumchukulia hatua Askofu Gwajima

    Nchi Hii ukisema Ukweli unaonekana si Mzalendo au ni Muasi sio hivyo sote nia Yetu ni moja kutengeneza Taifa lenye kujali wananchi wake ! Uadilifu unahitajika nyanja Zote!
  8. H

    PreGE2025 Rais Samia kuboresha taarifa zake awamu ya pili inamaanisha yeye mwenyewe haamini kama atatoboa?

    Pia Raia waambiwe na Haki nyengine isiwe Haki ya kupiga kura Tu!!
  9. H

    Mavunde: Tutazifutia leseni kampuni 95 za uchimbaji zilizoshindwa kuendeleza maeneo waliyopewa na Serikali

    Kwamba watu wakubwa ndo wako juu ya sheria? Na wadogo wako chini ! Tanzania tunashida gan jaman ? Kwa style hii maendeleo yatafika kwa wakati kweli? Halafu wananchi tunaambiwa tuwe wazalendo wakati wao wakubwa wenyewe si wazalendo!
  10. H

    PreGE2025 Chalamila awaonya wanaopanga 'kukinukisha' kwenye kesi ya Lissu, tarehe 24

    Kwa maoni yangu kwenda mahakamani kusikiliza kesi sijajua kama ni kuvunja amani! Kikubwa ni kuwaruhusu watu waende coz hakuna mtu anashida na kufanya fujo yyt! Polisi waimarishe ulinzi
  11. H

    CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

    Kazi ya Serikali ni Kukusanya Kodi sio kufanya Biashara! Makampuni yote ya serikali wangebinafsisha wapewe watu binafsi serikali ikusanye kodi tu!
  12. H

    Nini kinachelewesha kuwafikisha mahakamani maafisa wa LBL waliodaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi ?

    Kwa Maoni yangu Nahisi kuna Viongozi wanahusika na iyo michezo coz haiwezekani watu wanaendesha biashara kwa muda mrefu mpaka wanafungua ofisi kila mikoa kwamba Vyombo vya usalama hawajui ? Haiwezekani kuna namna hapa! Mpaka wananchi wachukuliwe pesa zao ndio wanawakata baada ya kujikusanyia...
  13. H

    Kilimanjaro: Mtoto wa miaka 6 achinjwa hadi kutenganishwa kichwa na kiwiliwili

    Subhannallah!! Sheria zimekua nyepesi mno ndo maana haya matukio hayaishi but Tungefuata sheria za Mwenyezi Mungu watu wangekua na hofu ! Mtu akikutwa na hatia ya kuua na yeye ananyongwa Hadharani! Mwenyezi Mungu anatujua vizur sisi Binaadam tulivyo
  14. H

    Nicole amekosa dhamana karudishwa rumande baada ya kesi yake kusikilizwa

    Na wa LBL pia wapelekwe mahakamani mbona hutusikii habari yoyote inayoendelea?
  15. H

    Nini maana ya Uvumba?

    Uvumba ni kama udi tu pia ! Watu wengine huwa wanachanganya sehemu moja kwenye chetezo kupata harufu nzuri
Back
Top Bottom