Habarini za majukumu ndugu zangu?
Mimi ni mwajiriwa katika moja ya sekta binafsi. Sijaridhika na hela ya mshahara ninayopata, nimejitahidi kuweka akiba kila mwezi hadi sasa nina kama 800,000.
Natamani kuanza kufanya biashara sema kila wazo ninalofikilia naliona sio sawa. Pia napata hofu...
Leo 14/6 ya kila mwaka ni siku ya mchangia damu kwa hiari.Kwa ambao mnaweza mnaweza kusogea kwenye sehemu wanazotoa ili kuchangia. Siku njema kwenu nyonte
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.